Colombia imehalalisha bangi
Rais wa Colombia ,Juan Manuel Santos, ametia sahihi sheria mpya inayohalalisha matumizi ya bangi kwa manufaa ya kimatibabu
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Colombia itachuana na Uruguay
Colombia iliilaza japan 4 -1 na sasa itachuana na Uruguay katika raundi ya pili
11 years ago
BBCSwahili19 Jun
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRkTTElhzQL4qGAQtmLT6y8B8SoV5E0wGOv*K7wPhONvxDGzu*Qh8ysYifrfNQr8FUKSqwAbsNAI-RxieIZA0gKR/colombia.jpg)
COLOMBIA YAICHACHAFYA UGIRIKI
Colombia wakishangilia bao la kwanza. Teofilo Gutierrez akiifungia bao la pili Colombia katika dakika ya 58. TIMU ya taifa ya Colombia imeishushia kichapo cha bao 3-0 Ugiriki katika mechi yao ya kundi C kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Wafungaji wa Colombia ni: Pablo Armero 5, Teofilo Gutierrez 58 na James Rodriguez 90. VIKOSI:
Colombia:… ...
11 years ago
BBCSwahili29 Jun
Colombia itapepetana na Brazil
Nyota wa Colombia James Rodriguez anatarajiwa kuibabashia Brazil katika mechi ya robo fainali
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Colombia yaifuata Brazil
Colombia itaivaa Brazil katika robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuwatupa nje ya mashindano Uruguay na Chile usiku wa kuamkia leo.
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Brazil Kuonana na Colombia
Inawakutanisha Neymar na James Rodriguez, nyota waliofunga mabao mengi mpaka sasa katika michuano ya kombe la dunia mwaka 2014
11 years ago
BBCSwahili02 May
Timbo la Dhahabu laporomoka Colombia
Timbo la dhahabu limeporomoka na kuwafukia wachimba migodi 30 Colombia
11 years ago
Mwananchi26 May
Colombia bado wamsubiri Falcao
Colombia inalazimika kusubiri kwa muda kupata uhakika kama watamtumia mshambuliaji wao, Radamel Falcao katika fainali za Kombe la Dunia mwezi ujao.
10 years ago
BBCSwahili19 May
Maparomoko yawaua watu 50 Colombia
Rais wa Colombia anasema kuwa utawala wa nchi hiyo haujui ni watu wangapi ambao hawajulikani waliko kufuatia maparomoko makubwa ya ardhi yaliowaua zaidi ya watu 50
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania