Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Congo:4 Wanaompinga Sassou Nguesso wauawa

Maandamano yameanza nchini Congo kupinga hatua ya rais wa nchi hiyo Denis Sassou Nguesso kuwania muhula wa tatu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Watu 70 wauawa Mashariki mwa Congo-UM

Umoja wa Mataifa umesema kuwa zaidi ya watu 70 waliuawa mwisho wa mwezi uliopita na mapema mwezi huu Mashariki mwa DRC.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaompinga Manji wagwaya

SIKU chache baada ya uongozi wa Yanga kuwataka wanachama wanaompinga Mwenyekiti wao Yusuf Manji kujitokeza klabuni kujiorodhesha, hadi jana hakuna aliyekuwa amejitokeza. Juni Mosi mwaka huu, zaidi ya wanachama 1,500...

 

11 years ago

Mwananchi

Manji awaita wanaompinga

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amelitaka kundi la wanachama wanaopinga uamuzi wa mkutano mkuu wa kumwongezewa muda wa kuiongoza klabu hiyo, kujiorodhesha na yeye atakuwa wa kwanza  kufanya hivyo.

 

5 years ago

Michuzi

WANAOMPINGA RAIS MAGUFULI WANA URAIA WA NCHI MBILI-MASAUDA

WANAOMPINGA RAIS MAGUFULI WANA URAIA WA NCHI MBILI-MASAUDA
Aliyekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa wa Mkoa wa Manyara mwaka 2007 hadi 2015 Cosmas Bura Masauda amesema vigogo wanaompinga Rais John Magufuli Magufuli, huenda wana uraia wa nchi mbili. 
Masauda akizungumza jana mjini Babati alisema yeye alikuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa mwaka 2007 hadi 2015 hivyo anashangazwa na vigogo kama Bernard Membe wanampinga Rais Magufuli. 
Alisema wanaompinga wanapaswa kutambua kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Congo DR yaitia adabu Congo Brazaville

DR Congo ilitoka nyuma na kuishinda Congo kwa mabao 4-2 na kufika katika semi fainali ya mechi za kombe la Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Congo kuchuana na DR Congo

Itakuwa mechi ya kwanza kati ya timu hizo mbili katika miaka 41 ambapo Congo iliishinda DR Congo 2-1 mjini Alezandria ,Misri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani