Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Maswali yako kuhusu ugonjwa wa corona yanajibiwa

Kuna utofauti gani kati ya mafua na corona? Barakoa inasaidia? Ngono inaweza kusababisha maambukizi ya ucorona?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Maswali yako kumi yanajibiwa

Je ni vipi unaweza kujitenga mwenyewe, Je kuna tofauti gani kati ya coronavirus na mafua au homa ya kawaida, na maswali mengine zaidi yanajibiwa katika taarifa hii

 

5 years ago

Michuzi

Majibu ya maswali 10 yanayoulizwa sana kuhusu coronavirus

Zaidi ya nchi 110 hadi sasa zimeripoti visa vya coronavirus na Shirika la Afya Duniani limetangaza virusi hivyo kuwa janga.

Yafuatayo ni majibu ya baadhi ya maswali ambayo wasomaji wamekua wakiyauliza.

1. Je inachukua kipindi gani mpaka mtu afahamike kuwa na coronavirus? - Swali lililoulizwa na Gillian Gibs

Inachukua siku tano kwa wastani kuanza kuonesha dalili, tangu mtu apate maambukizi, wanasayansi wamesema, lakini baadhi ya watu huanza kuonesha dalili hata baadae kuliko kipindi hiki.
Jinsi...

 

5 years ago

Michuzi

Wizara ya afya yatoa ufafanuzi maswali ya Wananchi kuhusu Corona

Na WAMJW-Dar es Salaam

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema amekuwa akipokea maoni, maswali na ushauri kutoka kwa wananchi wakitaka kujua jitihada mbalimbali za Serikali za kukabiliana na homa kali ya mapafu na amewaagiza wataalamu wake kuanza  kujibu maswali.

Waziri Ummy amesema  maswali, maoni na ushauri huo unatoka kwa wananchi kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na kituo cha wizara cha kupokea simu kuhusu ugonjwa wa homa ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: 'Maisha yangu yako hatarini kwasababu ya Corona'

Lucy Watts ana matatizo mengine ya kiafya na anahofia kwamba iwapo atapata virusi vya Corona madaktari hawatampa kipaumbele kuwa miongoni wenye mashine za kupumua

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Ugonjwa wa corona unavyoathiri mazishi na maombolezo

Mataifa mengi duniani yamechukua hatua ya kupiga marufuku mikusanyiko ya watu kama sherehe na misiba ilikuepeuka kuenea kwa maambukizi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Magufuli awakemea wanaopotosha jamii kuhusu ugonjwa wa corona

Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekemea tabia ya watu kufanya mzaha na kutisha wengine kupitia mitandao ya kijamii juu ya ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19).

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kenya yatangaza visa 8 vipya vya ugonjwa wa corona

Ongezeko hilo linafikisha 15 idadi ya wagonjwa waliambukizwa virusi vya corona nchini Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani