Coronavirus: Nchi za Afrika zilivyochukua hatua kudhibiti virusi
Nchi kadhaa zimezuia raia wa kigeni, kufunga shule na mikusanyiko ya watu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Coronavirus: Italia yachukua hatua za dharura nchi nzima kudhibiti virusi hatari
Takribani watu milioni 60 wameamriwa kubaki majumbani kujiepusha na maambukizi ya virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Hatua za Italia za kudhibiti coronavirus: Taifa zima kuchukua hatua ya kujitenga.
Matembezi ya raia wa Italia wapatao milioni 60 yamedhibitiwa kutokana na mlipuko. Italia ina idadi kubwa zaidi ya vifo vya virusi vya corona baada ya China.
5 years ago
BBCSwahili15 Mar
Coronavirus: Rwanda imefunga shule zote kudhibiti virusi
Rwanda imefunga shule zote pamoja na maeneo ya kuabudu kuanzia leo baada ya kuthibitisha kisa cha kwanza cha corona
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Nchi za SADC ziko tayari kiasi gani kudhibiti virusi vya corona?
Mawaziri wa afya wa SADC waweka mikakati ya kukabiliana na virusi vya corona.
10 years ago
Mwananchi04 Dec
‘Nchi za Afrika ziungane kudhibiti uharamia’
 Ili kukabiliana na vitendo vya uharamia kwenye wa Bahari ya Hindi, nchi za Afrika zimetakiwa kuweka nguvu katika ushirikiano, kwa kuwa si rahisi nchi moja kudhitibi uhalifu huo unaofanya na watu wanaodaiwa kuwa ni raia wa Somalia.
5 years ago
BBCSwahili17 Mar
Coronavirus: Mataifa ambayo utafungwa ukiuka maagizo ya kudhibiti virusi vya corona
Kuanzia kutozwa faini, kufungwa jela, hadi kurudishwa katika nchi ulikotoka -ni miongoni mwa hatua za dunia za kukabiliana maambukizi ya virusi vya corona.
5 years ago
BBCSwahili23 Mar
Coronavirus: Hatua zinazochukuliwa na Afrika mashariki dhidi ya corona
Nchi za Afrika mashariki zimekumbwa na maambukizi ya virusi vya corona isipokuwa Burundi na kumekuwa na hatua mbalimbali zilizochukuliwa ili kupambana na hali hiyo
5 years ago
BBCSwahili14 Mar
Coronavirus: 'Hivi virusi vinatoka nchi zote'
Raia wa nchi jirani ya Tanzania wamepokeaje tangazo hilo?
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya Corona: Je, marufuku ya kutotoka nje inaweza kudhibiti Corona Afrika?
Ni muhimu kwa wananchi kuhusishwa katka maamuzi ya marufuku ya kutoka nje, Alex de Waal na Paul Richards wamejadili.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania