Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Hatua zinazochukuliwa na Afrika mashariki dhidi ya corona

Nchi za Afrika mashariki zimekumbwa na maambukizi ya virusi vya corona isipokuwa Burundi na kumekuwa na hatua mbalimbali zilizochukuliwa ili kupambana na hali hiyo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA MPAKA WA KENYA NA TANZANIA ENEO LA HOROHORO KUONA HATUA ZINAZOCHUKULIWA Inbox x


Mwenyekiti wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Abdulla Makame akizungumza mara baada ya wabunge wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametembelea mpaka wa Kenya na Tanzania eneo la Horohoro –Lungalunga kuangalia umeathirika vipi kutokana na janga la Virusi vya Corona na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kuweza kukabiliana nao huku wakiridhishwa na hatua zinazochukuliwa kulia ni Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga Specioza Owure
...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Ubaguzi dhidi ya raia wa Kigeni Afrika Mashariki kwa hofu ya virusi

Huku maambukizi ya Corona yakiendelea kuongezeka Afrika, hofu ya janga hili linalokumba dunia limepelekea ubaguzi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Mashariki.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona Afrika: 'Hakuna muda wa kunasua uchumi wa Afrika' dhidi ya corona

Chumi nyingi za mataifa ya Afrika zimekuwa zikiimarika Many kabla ya kuibuka kwa janga la corona - hali hiyo huenda ikabadilika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Nchi za Afrika zilivyochukua hatua kudhibiti virusi

Nchi kadhaa zimezuia raia wa kigeni, kufunga shule na mikusanyiko ya watu.

 

5 years ago

CCM Blog

MSIIKITI MKUBWA AFRIKA MASHARIKI WAFUNGWA KUTOKANA NA CORONA


Msikiti mkubwa zaidi Afrika Mashariki wafungwa kutokana na coronaMisikiti kadhaa muhimu katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi imefungwa kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona.Msikiti wa kwanza kutangaza kufungwa kwa muda ni Msikiti wa Jamia kati kati ya jiji la Nairobi ambao unatajwa kuwa msikiti mkubwa zaidi Afrika Mashariki. Katika taarifa, kamati ya msikiti huo imesema: "Baada ya mashauriano na Baraza la Maulamaa wa Msikiti wa Jamia na pia kufuatia mashauriano na Jumuiya ya Waislamu Wanaofanya Kazi za Kitaalamu katika...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya pili Afrika Mashariki kwa Utawala Bora na Vita dhidi ya Rushwa

1

Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam.

Hussein Makame-MAELEZO

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la Utawala Bora na vita dhidi ya Rushwa.

Waziri Mkuchika amayasema hayo wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wimbi la pili la nzige kufanya uharibifu Afrika mashariki

Wimbi la pili la nzige linatarajiwa kusababisha uharibifu mkubwa mashariki mwa Afrika, miezi miwili baada ya kundi la wadudu hao hatari kuvamia mimea muda mfupi tu kabla ya kuanza kwa mlipuko wa virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Hatua za Italia za kudhibiti coronavirus: Taifa zima kuchukua hatua ya kujitenga.

Matembezi ya raia wa Italia wapatao milioni 60 yamedhibitiwa kutokana na mlipuko. Italia ina idadi kubwa zaidi ya vifo vya virusi vya corona baada ya China.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani