MSIIKITI MKUBWA AFRIKA MASHARIKI WAFUNGWA KUTOKANA NA CORONA
Misikiti kadhaa muhimu katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi imefungwa kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona.Msikiti wa kwanza kutangaza kufungwa kwa muda ni Msikiti wa Jamia kati kati ya jiji la Nairobi ambao unatajwa kuwa msikiti mkubwa zaidi Afrika Mashariki. Katika taarifa, kamati ya msikiti huo imesema: "Baada ya mashauriano na Baraza la Maulamaa wa Msikiti wa Jamia na pia kufuatia mashauriano na Jumuiya ya Waislamu Wanaofanya Kazi za Kitaalamu katika...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-NUjrtbHwjL4/XuYt-ZH4-II/AAAAAAACNTE/wqg1VVyvam05lCZJEJU7bEtjj2BGMEiPQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200614_170117.jpg)
WATANZANIA 57 WALIOKUWA WAMEKWANA AFRIKA KUSINI KUTOKANA NA CORONA WAREJEA NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-NUjrtbHwjL4/XuYt-ZH4-II/AAAAAAACNTE/wqg1VVyvam05lCZJEJU7bEtjj2BGMEiPQCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200614_170117.jpg)
11 years ago
MichuziHEIFER INTERNATIONAL TANZANIA YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUENDELEZA SEKTA YA MAZIWA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
5 years ago
BBCSwahili23 Mar
Coronavirus: Hatua zinazochukuliwa na Afrika mashariki dhidi ya corona
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--PHe5LdsWVc/VTpv_cXMssI/AAAAAAAHS_c/vN4axDnjy4c/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-04-24%2Bat%2B7.30.30%2BPM.png)
MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....
5 years ago
BBCSwahili25 Apr
Virusi vya corona: Wimbi la pili la nzige kufanya uharibifu Afrika mashariki
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Uhamiaji wa nchini Marekani kusitishwa kutokana na janga la corona, asema Trump
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya Corona: Mama yake meneja wa Manchester City Pep Gardiola afariki kutokana na corona
5 years ago
BBCSwahili10 May
Virusi vya corona: Eric Yuan, bilionea aliyetajirika kutokana na corona na kwa nini aliomba msamaha
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Virusi vya corona Afrika: 'Hakuna muda wa kunasua uchumi wa Afrika' dhidi ya corona