Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Country Boy azungumzia jinsi Kajala alivyomtoa kimuziki

Rapper Ibrahim Ayoub Mandingo aka ‘Country Boy’ amefunguka siri iliyomfanya kung’aa katika muziki kwa mara ya kwanza kuwa ni sababu ya staa wa filamu, Kajala Masanja aliyemlipia pesa ya kwenda studio. Akizungumza na Global TV, Country Boy alisema Kajala alikuwa msaada mkubwa kwake katika kumwezesha kifedha hivyo anamheshimu. “Mwanzo ulikuwa ngumu kidogo kwa my family […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

COUNTRY BOY: KAJALA ALINITOA KIMUZIKI

Country Boy ndani ya studio za Global TV Online. STAA wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Ayoub Mandingo ‘Country Boy’ amefunguka siri iliyomfanya kung’aa katika gemu kwa mara ya kwanza kuwa ni staa wa filamu, Kajala ambaye alimlipia mtonyo wa studio. Akifunguka na Global TV Online, Country Boy anayebamba na ngoma ya Akili za Usiku, alisema Kajala alikuwa msaada mkubwa kwake katika kumuwezesha kifedha hivyo… ...

 

11 years ago

Bongo5

Video: Profesa J azungumzia sababu zinazomfanya aendelee kuwepo vizuri kimuziki

Tangu anatoka akiwa na kundi la Hard Blasters Crew, na baadaye kuja kuachia album nne ambazo ni Machozi Jasho na Damu (2001), Mapinduzi Halisi (2003), J.O.S.E.P.H (2006) na Aluta Continua (2007), Profesa ameendelea kufanya vizuri kwenye muziki na sasa anafanya vizuri na wimbo aliomshirikisha Diamond Platnumz ‘Kipi Sijasikia’. Kwenye video hii, Mchawi wa Rhymes anaelezea […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Mapua Ft Country Boy — Sielewi

Mapua

Rapper anaetambulika kwa jina Mapua ameachia wimbo mpya, Unaitwa “Sielewi”. Amemshirikisha Country Boy Produced by Mo Fire Fire Music.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

COUNTRY BOY ATUA GLOBAL TV ONLINE

Country Boy ndani ya studio za Global TV Online. Country Boy akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.…

 

9 years ago

Bongo5

Music: Yung Sizza Ft Country Boy – Blessed

Blessed_Artwork

Wimbo mpya wa rapper Yung Sizza amemshirikisha Country Boy, Unaitwa “Blessed” Producer Luffa

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Country Boy: Sina tatizo na Young Dee

Mtu Chee

Rapa wa kundi la Mtu Chee, Country Boy amesema hana tatizo na Young Dee licha ya kupishana lugha miezi michache iliyopita baada ya rapa huyo kujitoa katika kundi hilo.

<img src="http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Mtu-Chee.jpg" alt="Mtu Chee" width="640" height="640" class="alignnone size-full wp-image-129808" /0

Country Boy anasema hajawahi kuoongea na Young Dee toka atangaze kuachana na Mtu Chee.

“Sina tatizo na Young Dee, yeye alichagua kufanya kile anachokitaka na sisi...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Country Boy Ft SamLov — Nimetoka Mbali

Video mpya kutoka kwa kwa rapper Country Boy akimshirikisha Samlov wimbo unaitwa “Nimetoka Mbali” Video imeongozwa na Msafiri kutoka Kwetu Studio

 

9 years ago

Bongo5

Country Boy ajiandaa kuachia mixtape mpya, ‘Kama Ulaya’

12237581_957038871035116_68731880_n

Rapper Country Boy amesema ataachia mixtape mpya hivi karibuni.

COUNTRYBOY1

Rapper huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa mixtape hiyo ameipa jina, Kama Ulaya.

“Idea ya kuita mixtape ‘Kama Ulaya’ imekuja baada ya kuona mimi ni mtu ambaye nilikuwa nafanya mixtape za mbele yaani ngoma za wasanii wa mbele na zime-hit,” alisema. “Mimi nina uwezo wa kubadilisha ngoma yoyote na unaweza kuona kama mixtape ya Bobby Shmurda, Hot Nigga na Kendrick Lamar ambayo nilifanya kwa style zao zile zile na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani