Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Country Boy ajiandaa kuachia mixtape mpya, ‘Kama Ulaya’

12237581_957038871035116_68731880_n

Rapper Country Boy amesema ataachia mixtape mpya hivi karibuni.

COUNTRYBOY1

Rapper huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa mixtape hiyo ameipa jina, Kama Ulaya.

“Idea ya kuita mixtape ‘Kama Ulaya’ imekuja baada ya kuona mimi ni mtu ambaye nilikuwa nafanya mixtape za mbele yaani ngoma za wasanii wa mbele na zime-hit,” alisema. “Mimi nina uwezo wa kubadilisha ngoma yoyote na unaweza kuona kama mixtape ya Bobby Shmurda, Hot Nigga na Kendrick Lamar ambayo nilifanya kwa style zao zile zile na...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Diddy aachia Mixtape mpya ‘MMM’ bure kama zawadi ya birthday yake (Isikilize yote)

diddy2

Jumatano ya November 4 ilikuwa ni birthday ya Sean John Combs maarufu kama Diddy ambaye amefikisha miaka 46.

diddy2

Katika kusheherekea birthday yake, rapper huyo mkongwe aliamua kuwa-surprise mashabiki wake kwa kuachia mixtape mpya ‘MMM’ (Money Making Mitch) ambayo ameitoa bure kwa yeyote anayetaka kudownload.

“Good Afternoon World!! Today is a big day!!! I am releasing a SONIC MOTION PICTURE, which is FREE and AVAILABLE EVERYWHERE. I want to thank everybody that has supported me over the years...

 

9 years ago

MillardAyo

TID katuletea hii single mpya ‘Banjo’ amewashirikisha Country Boy, Bill Nas….(+Audio)

Ni time ya kuisikiliza hii single mpya ya TID iitwayo ‘Banjo’ akiwa amewashirikisha Country Boy na Bill Nas. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye […]

The post TID katuletea hii single mpya ‘Banjo’ amewashirikisha Country Boy, Bill Nas….(+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Darassa: Kuachia redioni wimbo wa kwenye mixtape ni udhaifu

12142383_447607855445800_816074488_n

Rapper Darassa amesema kama angeamua kutoa wimbo kutoka kwenye mixtape yake kama wimbo rasmi, angeonesha udhaifu mkubwa.

12142383_447607855445800_816074488_n

Akizungumza kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, rapper huyo alisema ana uwezo wa kutengeneza nyimbo nyingi kali na nyimbo za mixtape zitabaki kuchezwa mtaani peke yake.

“Kweli mixtape yangu watu wanaipenda sana na kila wakisikiliza napata comments zao, lakini maana ya kufanya mixtape ni kuonesha mashabiki wangu nina uwezo kiasi gani wa kufanya chochote kwenye...

 

9 years ago

Bongo5

Lil Wayne atangaza tarehe ya kuachia mixtape yake ‘No Ceilings 2’

Lil Wayne no-ceilings-2-mixtape

Rapper Lil Wayne ametangaza tarehe atakayoachia mixtape yake ya ‘No Ceilings 2’ ambayo ni mwendelezo wa mixtape yake ya mwaka 2009 ‘No Ceilings’.

Lil Wayne no-ceilings-2-mixtape

Kupitia Twitter rapper huyo alishare covert ya mixtape hiyo ambayo amesema itatoka Nov. 26.

Tayari kuna nyimbo mpya ambazo Lil Wayne amekuwa akiziperform kwenye shows.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

9 years ago

Bongo5

Timbaland kuachia mixtape yake Dec 25, itakuwa na wimbo wa Aaliyah ambao haujawahi kusikika

timbaland

Producer mkongwe ambaye pia ni rapper, Timbaland ametangaza ujio wa mixtape yake mpya ‘King Stays King’ ambayo anatarajia kuiachia kwenye sikukuu ya Krismas Dec.25 mwaka huu.

timbaland

Miongoni mwa nyimbo zitakazokuwemo kwenye mixtape hiyo ni pamoja na wimbo mpya wa muimbaji wa RnB marehemu Aaliyah ambao haukuwahi kutoka wala kusikika.

Mixtape hiyo itakayokuwa na nyimbo 16 itakuwa na nyimbo walizoshirikisha Young Thug, Rich Homie Quan, Mila J pamoja na Blaze.

“It’s been a while since I’ve been able...

 

10 years ago

GPL

COUNTRY BOY: KAJALA ALINITOA KIMUZIKI

Country Boy ndani ya studio za Global TV Online. STAA wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Ayoub Mandingo ‘Country Boy’ amefunguka siri iliyomfanya kung’aa katika gemu kwa mara ya kwanza kuwa ni staa wa filamu, Kajala ambaye alimlipia mtonyo wa studio. Akifunguka na Global TV Online, Country Boy anayebamba na ngoma ya Akili za Usiku, alisema Kajala alikuwa msaada mkubwa kwake katika kumuwezesha kifedha hivyo… ...

 

10 years ago

GPL

COUNTRY BOY ATUA GLOBAL TV ONLINE

Country Boy ndani ya studio za Global TV Online. Country Boy akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.…

 

9 years ago

Bongo5

Music: Mapua Ft Country Boy — Sielewi

Mapua

Rapper anaetambulika kwa jina Mapua ameachia wimbo mpya, Unaitwa “Sielewi”. Amemshirikisha Country Boy Produced by Mo Fire Fire Music.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani