Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


introducing Pilot Boy-Friends Corner (Mixtape.Noiz)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Coastal Union kukipiga na Friends Corner kesho Iddi Pili

MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988 Coastal Union ya Tanga kesho Iddi Pili inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na timu ya Friends Corner ikiwa ni maandalizi ya kuelekea msimu mpya wa Ligi kuu soka Tanzania bara.
Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Iddi Pili kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni muendelezo wa mechi za kujipima nguvu kwa ajili ya kukiimarisha kikosi hicho kwa ajili ya mashindano ya Ligi kuu yajayo.
Maandalizi ya kuelekea mechi hiyo yamekamilika kwa asilimia kubwa...

 

11 years ago

Michuzi

JULIAS KISARAWE KUMVAA MOROBEST LEO FRIENDS CORNER MANZESE

Bondia Julius Kisarawe (kushoto) leo jioni anategemea kupanda ulingoni kuzipiga na Hassan Kiwale "Morobest" (kulia) katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es salaam katika pambano la raundi nane. Muandaaji wa mpambano huo Sempai Gola na ofisa wa ngumi za kulipwa nchini Pembe Ndava walisema maandalizi yote yapo kamili, na mabondia wapo katika hali nzuri ukiondoa kasoro ndogo iliojitokeza kwa Morobest aliyekuwa acheze na Fadhili Majia na sasa atacheza na Julias Thomas Kisarawe...

 

11 years ago

Michuzi

introducing RG Unit-Kula kwa Macho (NOIZ)

Kundi chipukizi, RG Unit linalowakilisha vyema katika bongofleva wanadrop "Kula kwa Macho" ngoma ya miondoko ya Dancehall toka Noizmekah Production Studios

 

9 years ago

Dewji Blog

Ngumi za kufungulia mwaka kupigwa ndani ya ukumbi wa Friends Corner Manzese Januari 2!!

super d boxing promotion

 

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Mabondia  Selemani Galile ‘Selemani Toll’  na  Zumba Kukwe wanatarajia kuzidunda mwanzoni mwa mwezi ujao katika mpambano wa kufungulia mwaka 2016 kg 75. Mpambano utakaofanyika  January 2/2016  ndani ya ukumbi wa Friends Corner, Manzese.

Mpambano huo ni wa kumaliza ubishi baada ya mpambano wao wa kwanza miaka mitatu  nyuma kutoka droo ambapo kila bondia amejigamba kumsambaratisha mwenzie

Akizungumza na waandishi wa habari mratibu wa mpambano  huo, Rajabu...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA SAID MBELWA AMCHIMBIA MKWALA GEORGE DIMOSO MPAMBANO WA OCTOBER 25 FRIENDS CORNER MANZESE


BONDIA Said Mbelwa mwenye rekodi ya kushinda 27,kupigwa16 na drawn 4 ambapo ana jumla ya mapambano 48 aliyocheza ameapa kumchakaza mpinzani wake george Dimoso mwenye rekodi ya kushinda mapambano 11kupigwa ,10 , drawn 2 na jumla ya michezo aliocheza ni 23

siku ya October 25 katika ukumbi wa friends Corner manzese jijini Dar es salaam

akizungumzia mpambano huo Mbelwa ambaye alikuwa kimya kidogo mda mrefu kutokana na kufungiwa baada ya kumpiga bondia Kalama Nyilawila kwa kupiga mateke...

 

9 years ago

Bongo5

Country Boy ajiandaa kuachia mixtape mpya, ‘Kama Ulaya’

12237581_957038871035116_68731880_n

Rapper Country Boy amesema ataachia mixtape mpya hivi karibuni.

COUNTRYBOY1

Rapper huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa mixtape hiyo ameipa jina, Kama Ulaya.

“Idea ya kuita mixtape ‘Kama Ulaya’ imekuja baada ya kuona mimi ni mtu ambaye nilikuwa nafanya mixtape za mbele yaani ngoma za wasanii wa mbele na zime-hit,” alisema. “Mimi nina uwezo wa kubadilisha ngoma yoyote na unaweza kuona kama mixtape ya Bobby Shmurda, Hot Nigga na Kendrick Lamar ambayo nilifanya kwa style zao zile zile na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani