Ngumi za kufungulia mwaka kupigwa ndani ya ukumbi wa Friends Corner Manzese Januari 2!!
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Mabondia Selemani Galile ‘Selemani Toll’ na Zumba Kukwe wanatarajia kuzidunda mwanzoni mwa mwezi ujao katika mpambano wa kufungulia mwaka 2016 kg 75. Mpambano utakaofanyika January 2/2016 ndani ya ukumbi wa Friends Corner, Manzese.
Mpambano huo ni wa kumaliza ubishi baada ya mpambano wao wa kwanza miaka mitatu nyuma kutoka droo ambapo kila bondia amejigamba kumsambaratisha mwenzie
Akizungumza na waandishi wa habari mratibu wa mpambano huo, Rajabu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 years ago
Vijimambo25 Oct
NGUMI KUPIGWA KESHO OKTOBER 25 FRENDS CORNER MANZESE
11 years ago
MichuziJULIAS KISARAWE KUMVAA MOROBEST LEO FRIENDS CORNER MANZESE
10 years ago
Vijimambo18 Oct
BONDIA SAID MBELWA AMCHIMBIA MKWALA GEORGE DIMOSO MPAMBANO WA OCTOBER 25 FRIENDS CORNER MANZESE
BONDIA Said Mbelwa mwenye rekodi ya kushinda 27,kupigwa16 na drawn 4 ambapo ana jumla ya mapambano 48 aliyocheza ameapa kumchakaza mpinzani wake george Dimoso mwenye rekodi ya kushinda mapambano 11kupigwa ,10 , drawn 2 na jumla ya michezo aliocheza ni 23
siku ya October 25 katika ukumbi wa friends Corner manzese jijini Dar es salaam
akizungumzia mpambano huo Mbelwa ambaye alikuwa kimya kidogo mda mrefu kutokana na kufungiwa baada ya kumpiga bondia Kalama Nyilawila kwa kupiga mateke...
10 years ago
Vijimambo06 Nov
NGUMI KUPIGWA JUMAPILI MANZESE UKUMBA WA MANYARA
BONDIA Samsoni Maisha wa kyela amewasili jijini Dar es salaam kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa TPBO na Ibrahimu Tamba mpambano utakaofanyika novemba 9 mwaka huu katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaa
10 years ago
Vijimambo10 Jul
10 years ago
Michuzi21 Dec
NGUMI KUPIGWA JANUARY 2, 2015 IFAKARA KATIKA UKUMBI WA MAKUTANO
MPAMBANO wa ngumi wa kufungua mwaka unatarajiwa kupigwa Ifakara mkoa wa Morogoro kuhamasisha na kukuza mchezo wa masumbwi nchini. promota wa mpambano huo Hiari Bohari amesema kuwa kwa sasa anataka aendeleze mchezo wa masumbwi Ifakara kwa kuwa watu wapo na mchezo unapendwa.
Alisema siku hiyo ya January 2. 2015 itakuwa ni siku ya kufungua mwaka kwa mpambano wa masumbwi kati ya Abdallah Kilima na Abdul Amwenye huku Saleh Makuka akipambanma na Said Chamaki
Aliongezea pia...
10 years ago
Vijimambo21 Dec
10 years ago
Vijimambo19 Dec
NGUMI KUPIGWA IJUMAA YA TAREHE 19 UKUMBI VIGAE CLASSIC ZAKHEM MBAGALA
Promota wa mpambano wa masumbwi nchini Shabani Adios 'Mwaya mwanya' katikati akiwangalia mabondia Ibrahimu Maokola na Selemani Mkalakala wanavyotunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa unaotambuliwa na chama cha TPBC utakaofanyika leo ijumaa katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem Picha na SUPERDBOXING
NEWS
Selemani Mkalakala akipima uzito
Mabondia Ibrahimu Maokola na Selemani Mkalakala wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya...