Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONDIA SAID MBELWA AMCHIMBIA MKWALA GEORGE DIMOSO MPAMBANO WA OCTOBER 25 FRIENDS CORNER MANZESE


BONDIA Said Mbelwa mwenye rekodi ya kushinda 27,kupigwa16 na drawn 4 ambapo ana jumla ya mapambano 48 aliyocheza ameapa kumchakaza mpinzani wake george Dimoso mwenye rekodi ya kushinda mapambano 11kupigwa ,10 , drawn 2 na jumla ya michezo aliocheza ni 23

siku ya October 25 katika ukumbi wa friends Corner manzese jijini Dar es salaam

akizungumzia mpambano huo Mbelwa ambaye alikuwa kimya kidogo mda mrefu kutokana na kufungiwa baada ya kumpiga bondia Kalama Nyilawila kwa kupiga mateke...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BONDIA SAIDI MBELWA APIGA GEORGE DIMOSO KWA POINT

Bondia Georger Dimoso kushoto akipambana na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamoso iliyopita Mbelwa alishinda kwa point mpambano huo wa raundi nane Bondia Said Mbelwa kushoto akioneshana umwamba na Geore Dimoso wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi jana Mbelwa alishinda kwa point Mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakifatilia kwa makini mchezo huoBondia Said Mbelwa akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wa mpambano huoSBondia Hamza Mchanjo kushoto akipambana na Juma...

 

11 years ago

Michuzi

JULIAS KISARAWE KUMVAA MOROBEST LEO FRIENDS CORNER MANZESE

Bondia Julius Kisarawe (kushoto) leo jioni anategemea kupanda ulingoni kuzipiga na Hassan Kiwale "Morobest" (kulia) katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es salaam katika pambano la raundi nane. Muandaaji wa mpambano huo Sempai Gola na ofisa wa ngumi za kulipwa nchini Pembe Ndava walisema maandalizi yote yapo kamili, na mabondia wapo katika hali nzuri ukiondoa kasoro ndogo iliojitokeza kwa Morobest aliyekuwa acheze na Fadhili Majia na sasa atacheza na Julias Thomas Kisarawe...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ngumi za kufungulia mwaka kupigwa ndani ya ukumbi wa Friends Corner Manzese Januari 2!!

super d boxing promotion

 

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Mabondia  Selemani Galile ‘Selemani Toll’  na  Zumba Kukwe wanatarajia kuzidunda mwanzoni mwa mwezi ujao katika mpambano wa kufungulia mwaka 2016 kg 75. Mpambano utakaofanyika  January 2/2016  ndani ya ukumbi wa Friends Corner, Manzese.

Mpambano huo ni wa kumaliza ubishi baada ya mpambano wao wa kwanza miaka mitatu  nyuma kutoka droo ambapo kila bondia amejigamba kumsambaratisha mwenzie

Akizungumza na waandishi wa habari mratibu wa mpambano  huo, Rajabu...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI KUPIGWA KESHO OKTOBER 25 FRENDS CORNER MANZESE

Bondia Ally Bugingo akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Amani Bariki 'Manny Chuga' mpambano utakaofanyika Oktoba 25 katika ukumbi wa Frends corner Manzese Dar es salaam katikati ni Antony Rutta Bondia Sadiki Nuru akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho jumamosiBondia Said Mbelwa akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika kesho oktoba 25 katika ukumbi wa frends corner manzese ambapo anapambana na George Dimoso mpambano wa raundi nane.Bondia Fadhili Boika kushoto...

 

10 years ago

Michuzi

Coastal Union kukipiga na Friends Corner kesho Iddi Pili

MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988 Coastal Union ya Tanga kesho Iddi Pili inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na timu ya Friends Corner ikiwa ni maandalizi ya kuelekea msimu mpya wa Ligi kuu soka Tanzania bara.
Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Iddi Pili kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni muendelezo wa mechi za kujipima nguvu kwa ajili ya kukiimarisha kikosi hicho kwa ajili ya mashindano ya Ligi kuu yajayo.
Maandalizi ya kuelekea mechi hiyo yamekamilika kwa asilimia kubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SAID MBELWA: Bondia anayetumikia kifungo kwa kinyongo

SAID Mbelwa si jina geni masikioni hata machoni mwa wapenzi na mashabiki wa masumbwi nchini. Hii inatokana na kuwa miongoni mwa mabondia mahiri kwa sasa ambao uwezo wao, umekuwa ndio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani