Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coastal Union kukipiga na Friends Corner kesho Iddi Pili

MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988 Coastal Union ya Tanga kesho Iddi Pili inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na timu ya Friends Corner ikiwa ni maandalizi ya kuelekea msimu mpya wa Ligi kuu soka Tanzania bara.
Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Iddi Pili kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni muendelezo wa mechi za kujipima nguvu kwa ajili ya kukiimarisha kikosi hicho kwa ajili ya mashindano ya Ligi kuu yajayo.
Maandalizi ya kuelekea mechi hiyo yamekamilika kwa asilimia kubwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Friends Rangers kukipiga na Kimondo katika uwanja wa Karume Kesho

Mwandishi Wetu
VINARA wa Ligi Daraja la kwanza katika kundi A, timu ya Friends Rangers, kesho wanashuka katika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, kuvaana na timu ya Kimondo, katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza.
Ofisa Habari wa klabu hiyo, Asha Kigundula, amewataka wapenzi wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo, kuwapa hamasa wachezaji wao. Kigundula alisema kuwa wana amini mchezo huo utakuwa mgumu, lakini kujitokeza kwa wapenzi wengi kutawafanya wachezaji wao...

 

10 years ago

Michuzi

friends rangers kukipiga na ndanda fc uwanja wa makurumla magomeni mwembechai kesho

KIKOSI cha timu ya Friends Rangers (pichani), kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni Mwembechai, Dar es salaam kuvaana na timu ya Ndanda FC ya Mtwara katika mchezo wa kirafiki wa kijiandaa na mzunguko wa pili wa ligi daraja la kwanza.  Ofisa habari wa timu hiyo Asha Kigundula, alisema kikosi hicho kinashuka dimbani kikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa ligi hiyo inayoanza kutimua vumbi Ijumaa ya Desemba 26, 2014.  Alisema kwa kutambua umuhimu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI HAPA.

MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union unatarajiwa kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi mjini  Tanga.

Sababu za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi la Polisi Mesi ni

kutokana na makao makuu ya klabu ya Coastal Union kuendelea mchakato wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa na upigaji picha wananchikwa ajili ya vitambulisho hivyo.

Akizungumza leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga  alisema maandalizi ya mkutano huo yanaendelea...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI TANGA.



MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union unatarajiwa kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi mjini  Tanga.

Sababu za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi la Polisi Mesi ni

kutokana na makao makuu ya klabu ya Coastal Union kuendelea mchakato wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa na upigaji picha wananchikwa ajili ya vitambulisho hivyo.

Akizungumza leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga  alisema maandalizi ya mkutano huo yanaendelea...

 

11 years ago

Michuzi

JULIAS KISARAWE KUMVAA MOROBEST LEO FRIENDS CORNER MANZESE

Bondia Julius Kisarawe (kushoto) leo jioni anategemea kupanda ulingoni kuzipiga na Hassan Kiwale "Morobest" (kulia) katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es salaam katika pambano la raundi nane. Muandaaji wa mpambano huo Sempai Gola na ofisa wa ngumi za kulipwa nchini Pembe Ndava walisema maandalizi yote yapo kamili, na mabondia wapo katika hali nzuri ukiondoa kasoro ndogo iliojitokeza kwa Morobest aliyekuwa acheze na Fadhili Majia na sasa atacheza na Julias Thomas Kisarawe...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ngumi za kufungulia mwaka kupigwa ndani ya ukumbi wa Friends Corner Manzese Januari 2!!

super d boxing promotion

 

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Mabondia  Selemani Galile ‘Selemani Toll’  na  Zumba Kukwe wanatarajia kuzidunda mwanzoni mwa mwezi ujao katika mpambano wa kufungulia mwaka 2016 kg 75. Mpambano utakaofanyika  January 2/2016  ndani ya ukumbi wa Friends Corner, Manzese.

Mpambano huo ni wa kumaliza ubishi baada ya mpambano wao wa kwanza miaka mitatu  nyuma kutoka droo ambapo kila bondia amejigamba kumsambaratisha mwenzie

Akizungumza na waandishi wa habari mratibu wa mpambano  huo, Rajabu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani