Friends Rangers kukipiga na Kimondo katika uwanja wa Karume Kesho
Mwandishi Wetu
VINARA wa Ligi Daraja la kwanza katika kundi A, timu ya Friends Rangers, kesho wanashuka katika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, kuvaana na timu ya Kimondo, katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza.
Ofisa Habari wa klabu hiyo, Asha Kigundula, amewataka wapenzi wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo, kuwapa hamasa wachezaji wao. Kigundula alisema kuwa wana amini mchezo huo utakuwa mgumu, lakini kujitokeza kwa wapenzi wengi kutawafanya wachezaji wao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzifriends rangers kukipiga na ndanda fc uwanja wa makurumla magomeni mwembechai kesho
10 years ago
Michuzifriends rangers vs African lyon jino kwa jino uwanja wa karume kesho
10 years ago
MichuziCoastal Union kukipiga na Friends Corner kesho Iddi Pili
Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Iddi Pili kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni muendelezo wa mechi za kujipima nguvu kwa ajili ya kukiimarisha kikosi hicho kwa ajili ya mashindano ya Ligi kuu yajayo.
Maandalizi ya kuelekea mechi hiyo yamekamilika kwa asilimia kubwa...
10 years ago
MichuziFriends Rangers kuwavaa Azam
Ofisa habari wa klabu hiyo Asha Kigundula, alisema kuwa mchezo huo utafanyika asubuhi kuanzia saa 2, asubuhi.
Kigundula alisema kuwa wameshukuru kupata mechi hiyo ambayo itaendelea kuiweka timu yao katika mazingira mazuri kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi daraja la kwanza.
Alisema kuwa kucheza na timu kama Azam...
9 years ago
Vijimambo9 years ago
Habarileo30 Aug
Friends Rangers sasa nusu fainali
TIMU ya Friends Rangers imekuwa timu ya tatu kukata tiketi ya kucheza nusu fainali ya mashindano ya Ndondo Cup baada ya kuifunga Boom FC bao 1-0 kwenye Uwanja wa Bandari Temeke.
9 years ago
Habarileo18 Oct
Friends Rangers safi Kombe la Magufuli
TIMU ya Friends Rangers imekamilisha idadi ya timu nne ambazo zimefuzu kucheza hatua ya Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Magufuli ‘Hapa Kazi Tu’ baada ya juzi kuifunga timu ya Faru Jeuri kwa bao 1-0.
9 years ago
MichuziFriends Rangers yawanasa wakali wanne wa soka
VINARA wa Ligi Daraja la Kwanza katika kundi (A) klabu ya Friends Rangers, imesajili wachezaji wanne ambao Emanuel Gabriel, Fred Cosmas, Mussa John 'Rooney' na Ramadhan Chombo 'Redondo' kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi hiyo unaotarajia kuanza hivi karibuni.
Ofisa Habari wa klabu hiyo Asha Kigundula, alisema kuwa katika kuhimalisha kikosi chao, wameamua waongeze wachezaji wanne ambao watasaidia kupandisha timu yao.
Kigundula alisema kuwa hata hivyo kikosi chao ...