friends rangers vs African lyon jino kwa jino uwanja wa karume kesho
![](http://2.bp.blogspot.com/-YgVBKrw6g5c/VKWPKoanmjI/AAAAAAAG644/yk62JanmAsQ/s72-c/download.jpg)
KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam kuvaana na timu ya African Lyon, katika mchezo wa ligi daraja la kwanza. Ofisa habari wa Friends Rangers, Asha Kigundula, alisema kuwa mchezo huo wa pili kwa timu hizo ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi hiyo. Kigundula alisema kuwa kikosi chao kipo katika hali kubwa ya kuhakikisha haitapoteza mchezo huo. Alisema kikosi chao chini ya kocha wao Ally Yusuph 'Tigana' kina...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ze5WFjL49OM/VGd2gjq5JXI/AAAAAAAGxgQ/SsE1e39I5oA/s72-c/Asha-Kigundula1.jpg)
Friends Rangers kukipiga na Kimondo katika uwanja wa Karume Kesho
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ze5WFjL49OM/VGd2gjq5JXI/AAAAAAAGxgQ/SsE1e39I5oA/s1600/Asha-Kigundula1.jpg)
VINARA wa Ligi Daraja la kwanza katika kundi A, timu ya Friends Rangers, kesho wanashuka katika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, kuvaana na timu ya Kimondo, katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza.
Ofisa Habari wa klabu hiyo, Asha Kigundula, amewataka wapenzi wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo, kuwapa hamasa wachezaji wao. Kigundula alisema kuwa wana amini mchezo huo utakuwa mgumu, lakini kujitokeza kwa wapenzi wengi kutawafanya wachezaji wao...
10 years ago
Bongo508 Feb
Jino kwa Jino? Ex wa Zari ala bata na Wema South, mpambe asema ‘What goes around comes around (Picha)
10 years ago
Mwananchi28 Jul
KOMBE LA KAGAME: Hall, Pluijm jino kwa jino
11 years ago
Mwananchi17 May
CDA, Bulyanhulu jino kwa jino Ligi ya Mabingwa
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Pazi, Jogoo jino kwa jino leo
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-urF2im2wU5U/U8Wfgb2TwpI/AAAAAAAF2ls/StuWspg6NNQ/s72-c/unnamed+(9).jpg)
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI JINO KWA JINO NA WASHABIKI WA TUBINGEN, UJERUMANI MWISHO MWA WIKI HII !
![](http://1.bp.blogspot.com/-urF2im2wU5U/U8Wfgb2TwpI/AAAAAAAF2ls/StuWspg6NNQ/s1600/unnamed+(9).jpg)
11 years ago
Mtanzania08 Aug
Warioba, CCM jino kwa jino
![Jaji Joseph Warioba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jaji-Warioba.jpg)
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka tena na kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kuwa anatumia mchakato wa Katiba kama mradi binafsi wa kujitafutia maisha, historia na heshima mbele ya jamii.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye, alimshutumu Warioba na wajumbe wake kwa kutoa lugha...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7KfVtj4CX6iqvA2qJnwGxVTA1ctMiGPpi57Gx5wk49RkejrND2U-7hvk76a4JZxRasCEUmbD1mUufiLjaLyrWTOtLz6jbALh/GGM.gif?width=650)
CCM, UKAWA JINO KWA JINO
10 years ago
Mtanzania21 Apr
Chadema, ACT jino kwa jino
BAKARI KIMWANGA NA SHOMARI BINDA, MUSOMA
NI dhahiri sasa vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo vimeanza kuumana jino kwa jino kutokana na kupishana kwenye mikutano ya kisiasa inayoendelea mikoani.
Wakati vyama hivyo vikiendelea kuchuana na kujaza mamia ya wananchi kwenye mikutano yao, viongozi wake wamekuwa wakituhumiana kwa mambo mbalimbali.
Vyama hivyo vimekuwa vikipishana katika kanda tangu vilipoanza ziara za mikoani hivi karibuni. Wakati Naibu Katibu Mkuu wa Chadema-Bara, John Mnyika akiwa...