Warioba, CCM jino kwa jino
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka tena na kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kuwa anatumia mchakato wa Katiba kama mradi binafsi wa kujitafutia maisha, historia na heshima mbele ya jamii.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye, alimshutumu Warioba na wajumbe wake kwa kutoa lugha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLCCM, UKAWA JINO KWA JINO
10 years ago
Michuzifriends rangers vs African lyon jino kwa jino uwanja wa karume kesho
10 years ago
Bongo508 Feb
Jino kwa Jino? Ex wa Zari ala bata na Wema South, mpambe asema ‘What goes around comes around (Picha)
10 years ago
Mwananchi28 Jul
KOMBE LA KAGAME: Hall, Pluijm jino kwa jino
11 years ago
Mwananchi17 May
CDA, Bulyanhulu jino kwa jino Ligi ya Mabingwa
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Pazi, Jogoo jino kwa jino leo
11 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI JINO KWA JINO NA WASHABIKI WA TUBINGEN, UJERUMANI MWISHO MWA WIKI HII !
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Watawala wakihimiza jino kwa jino
JAMANI, msitake nilie badala ya kucheka kwa uchungu. Siamini na sijui kama ni kweli hili ninalosikia limetendeka. Eti Rais wangu mpendwa Jakaya Mrisho wa Kikwete, ametoa kauli akiwataka viongozi na...
10 years ago
Mtanzania21 Apr
Chadema, ACT jino kwa jino
BAKARI KIMWANGA NA SHOMARI BINDA, MUSOMA
NI dhahiri sasa vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo vimeanza kuumana jino kwa jino kutokana na kupishana kwenye mikutano ya kisiasa inayoendelea mikoani.
Wakati vyama hivyo vikiendelea kuchuana na kujaza mamia ya wananchi kwenye mikutano yao, viongozi wake wamekuwa wakituhumiana kwa mambo mbalimbali.
Vyama hivyo vimekuwa vikipishana katika kanda tangu vilipoanza ziara za mikoani hivi karibuni. Wakati Naibu Katibu Mkuu wa Chadema-Bara, John Mnyika akiwa...