JULIAS KISARAWE KUMVAA MOROBEST LEO FRIENDS CORNER MANZESE
.jpg)
Bondia Julius Kisarawe (kushoto) leo jioni anategemea kupanda ulingoni kuzipiga na Hassan Kiwale "Morobest" (kulia) katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es salaam katika pambano la raundi nane. Muandaaji wa mpambano huo Sempai Gola na ofisa wa ngumi za kulipwa nchini Pembe Ndava walisema maandalizi yote yapo kamili, na mabondia wapo katika hali nzuri ukiondoa kasoro ndogo iliojitokeza kwa Morobest aliyekuwa acheze na Fadhili Majia na sasa atacheza na Julias Thomas Kisarawe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Ngumi za kufungulia mwaka kupigwa ndani ya ukumbi wa Friends Corner Manzese Januari 2!!
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Mabondia Selemani Galile ‘Selemani Toll’ na Zumba Kukwe wanatarajia kuzidunda mwanzoni mwa mwezi ujao katika mpambano wa kufungulia mwaka 2016 kg 75. Mpambano utakaofanyika January 2/2016 ndani ya ukumbi wa Friends Corner, Manzese.
Mpambano huo ni wa kumaliza ubishi baada ya mpambano wao wa kwanza miaka mitatu nyuma kutoka droo ambapo kila bondia amejigamba kumsambaratisha mwenzie
Akizungumza na waandishi wa habari mratibu wa mpambano huo, Rajabu...
11 years ago
Vijimambo18 Oct
BONDIA SAID MBELWA AMCHIMBIA MKWALA GEORGE DIMOSO MPAMBANO WA OCTOBER 25 FRIENDS CORNER MANZESE

BONDIA Said Mbelwa mwenye rekodi ya kushinda 27,kupigwa16 na drawn 4 ambapo ana jumla ya mapambano 48 aliyocheza ameapa kumchakaza mpinzani wake george Dimoso mwenye rekodi ya kushinda mapambano 11kupigwa ,10 , drawn 2 na jumla ya michezo aliocheza ni 23
siku ya October 25 katika ukumbi wa friends Corner manzese jijini Dar es salaam
akizungumzia mpambano huo Mbelwa ambaye alikuwa kimya kidogo mda mrefu kutokana na kufungiwa baada ya kumpiga bondia Kalama Nyilawila kwa kupiga mateke...
11 years ago
Vijimambo25 Oct
NGUMI KUPIGWA KESHO OKTOBER 25 FRENDS CORNER MANZESE
11 years ago
Michuzi13 Aug
10 years ago
Michuzi
Coastal Union kukipiga na Friends Corner kesho Iddi Pili

Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Iddi Pili kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni muendelezo wa mechi za kujipima nguvu kwa ajili ya kukiimarisha kikosi hicho kwa ajili ya mashindano ya Ligi kuu yajayo.
Maandalizi ya kuelekea mechi hiyo yamekamilika kwa asilimia kubwa...
10 years ago
Vijimambo10 Jul
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Cheka kumvaa Mrussia leo
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Julius Kisarawe kuzichapa na Moro Best leo
BONDIA Julius Kisarawe anatarajiwa kupanda ulingoni katika Ukumbi wa Friends Corner, Manzese jijini Dar es Salaam leo, kuzichapa na Hassan Kiwale ‘Moro Best’. Kwa mujibu wa muandaaji wa mnyukano huo,...