Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheka kumvaa Mrussia leo

>Bingwa wa dunia wa WBF, Francis ‘SMG’ Cheka amesema atahakikisha anamaliza raundi zote kwenye pambano lake la leo dhidi ya Fedor Chudino wa Russia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pambano la Cheka, Mrussia hatihati

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na  Michezo imekiwekea ngumu Chama cha Ngumi za Kulipwa Tanzania (PST) kutoa kibali cha pambano la bondia Francis ‘SMG’ Cheka na Valery Brudov wa Russia kwa kile ilichoeleza hadi iombwe radhi kwa maandishi na promota wa pambano hilo, Jay Msangi.

 

9 years ago

Mwananchi

Francis Cheka kumvaa Ajetovic Februari 27

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka atapanda ulingoni Februari 27 kuzichapa na Geard Ajetovic mwenye asili ya Serbia anayeishi England katika pambano la kuwania ubingwa wa mabara wa WBF.

 

11 years ago

Michuzi

JULIAS KISARAWE KUMVAA MOROBEST LEO FRIENDS CORNER MANZESE

Bondia Julius Kisarawe (kushoto) leo jioni anategemea kupanda ulingoni kuzipiga na Hassan Kiwale "Morobest" (kulia) katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es salaam katika pambano la raundi nane. Muandaaji wa mpambano huo Sempai Gola na ofisa wa ngumi za kulipwa nchini Pembe Ndava walisema maandalizi yote yapo kamili, na mabondia wapo katika hali nzuri ukiondoa kasoro ndogo iliojitokeza kwa Morobest aliyekuwa acheze na Fadhili Majia na sasa atacheza na Julias Thomas Kisarawe...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA LEO MAY 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba Mabondia Selemani Zugo naq Twaha Kiduku wakitunishiana misuliBONDIA JOSEPH SINKALA AKITUNISHIANA UBAVU NA IBRAHIMU...

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyusho kumvaa Mfilipino

Bondia Francis Miyeyusho amebadilishiwa mpinzani na sasa atazichapa na Ronald Pontillas wa Philippines badala ya Viktor Chernous wa Ukraine.

 

10 years ago

BBCSwahili

Karama Nyilawila kumvaa Mmalawi.

Bondia wa Tanzania Karama Nyilawila mwakani ,anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na bondia mmalawi Frank Mwamaso

 

10 years ago

Mwananchi

Makonda akanusha kumvaa Warioba

Katibu wa Hamasa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM), Paul Makonda jana alibanwa na aliyekuwa mshehereshaji wa mdahalo wa Katiba, Said Kubenea akimtuhumu kuhusika na vurugu zilizotokea katika mdahalo huo na kusababisha aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kushambuliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani