Pambano la Cheka, Mrussia hatihati
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imekiwekea ngumu Chama cha Ngumi za Kulipwa Tanzania (PST) kutoa kibali cha pambano la bondia Francis ‘SMG’ Cheka na Valery Brudov wa Russia kwa kile ilichoeleza hadi iombwe radhi kwa maandishi na promota wa pambano hilo, Jay Msangi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Cheka kumvaa Mrussia leo
>Bingwa wa dunia wa WBF, Francis ‘SMG’ Cheka amesema atahakikisha anamaliza raundi zote kwenye pambano lake la leo dhidi ya Fedor Chudino wa Russia.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Pambano la Cheka lasogezwa mbele
Pambano la Francis Cheka na Varely Brudov wa Russia lilililokuwa lifanyike Aprili 5 jijini Dar es Salaam limesogezwa mbele hadi litakapotajwa tena, huku lile la Francis Miyeyusho na Ronald Pontillas wa Ufilipino likibaki palepale.
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Pambano la Cheka sasa kufanyika Machi 1
Bondia Francis ‘SMG’ Cheka ameumia mkono wakati akifanya mazoezi ya kupigana na mdogo wake Cosmas hivyo kulazimika pambano lake na Valery Brudov wa Russia kusogezwa hadi Machi Mosi.
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Promota Kova ajitwisha pambano la Cheka, Brudov
Pambano la Francis Cheka na Varely Brudov wa Russia sasa litasimamiwa na promota mpya, Mussa Kova kutoka Kampuni ya Mawenzi Focus International Ltd baada ya aliyekuwa promota wa awali, Jay Msangi kueleza kujiondoa kuendelea kuliandaa pambano hilo.
9 years ago
Vijimambo13 Sep
PAMBANO HILI NI LEO USIKU LAKINI LINAONEKANA KUDODA SIYO KAMA PAMBANO LILILOPITA MAYWEATHER NA PAC.
![](https://scontent-ord1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpt1/v/t1.0-0/p280x280/12006246_1050293754989289_1837075724729834108_n.jpg?oh=695a337baac06b37f64c7c95e78eceee&oe=569FD355)
Je,unamshabikia nani katika pigano la kesho kati ya bingwa wa ndondi duniani uzani wa welter Floyd Mayweather na Andre Berto?
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7zqEL_P_B4U/default.jpg)
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
11 years ago
Mwananchi22 May
Kaseja hatihati
Hatma ya kipa Juma Kaseja, kuendelea kuichezea Yanga ipo mikononi mwa mashabiki wa klabu hiyo kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi yaliyowasilishwa kwa viongozi wa timu hiyo.
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Mbatia hatihati Vunjo
“NDOA isiyo rasmi kisiasa” baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na chama cha upinzani cha Tanzania
Paul Sarwatt
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania