Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Promota Kova ajitwisha pambano la Cheka, Brudov

Pambano la Francis Cheka na Varely Brudov wa Russia sasa litasimamiwa na promota mpya, Mussa Kova kutoka Kampuni ya Mawenzi Focus International Ltd baada ya aliyekuwa promota wa awali, Jay Msangi kueleza kujiondoa kuendelea kuliandaa pambano hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Promota Don King kumshuhudia Francis Cheka Dar

Promota maarufu wa ngumi za kulipwa duniani Donald ‘Don’ King maarufu zaidi kama Don King anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye pambano la Francis ‘SMG’ Cheka na Valery Brudov wa Russia.

 

11 years ago

Mwananchi

Pambano la Cheka lasogezwa mbele

Pambano la Francis Cheka na Varely Brudov wa Russia lilililokuwa lifanyike Aprili 5 jijini Dar es Salaam limesogezwa mbele hadi litakapotajwa tena, huku lile la Francis Miyeyusho na Ronald Pontillas wa Ufilipino likibaki palepale.

 

11 years ago

Mwananchi

Pambano la Cheka, Mrussia hatihati

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na  Michezo imekiwekea ngumu Chama cha Ngumi za Kulipwa Tanzania (PST) kutoa kibali cha pambano la bondia Francis ‘SMG’ Cheka na Valery Brudov wa Russia kwa kile ilichoeleza hadi iombwe radhi kwa maandishi na promota wa pambano hilo, Jay Msangi.

 

11 years ago

Mwananchi

Pambano la Cheka sasa kufanyika Machi 1

Bondia Francis ‘SMG’ Cheka ameumia mkono wakati akifanya mazoezi ya kupigana na mdogo wake Cosmas hivyo kulazimika pambano lake na Valery Brudov wa Russia kusogezwa hadi Machi Mosi.

 

9 years ago

Vijimambo

PAMBANO HILI NI LEO USIKU LAKINI LINAONEKANA KUDODA SIYO KAMA PAMBANO LILILOPITA MAYWEATHER NA PAC.



Je,unamshabikia nani katika pigano la kesho kati ya bingwa wa ndondi duniani uzani wa welter Floyd Mayweather na Andre Berto?

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli ajitwisha mzigo wa wachimbaji wadogowadogo

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli ameahidi kumaliza kero ya muda mrefu inayowakabili wachimbaji wadogowadogo nchini kwa kuwatafutia maeneo maalumu kwa ajili ya shughuli zao za uchimbaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Phiri ajitwisha zigo la lawama

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuacha kumsakama kipa Ivo Mapunda na kutaka lawama zote abebeshwe yeye kwani yupo tayari kuwajibika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani