Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Promota Don King kumshuhudia Francis Cheka Dar

Promota maarufu wa ngumi za kulipwa duniani Donald ‘Don’ King maarufu zaidi kama Don King anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye pambano la Francis ‘SMG’ Cheka na Valery Brudov wa Russia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Promota Kova ajitwisha pambano la Cheka, Brudov

Pambano la Francis Cheka na Varely Brudov wa Russia sasa litasimamiwa na promota mpya, Mussa Kova kutoka Kampuni ya Mawenzi Focus International Ltd baada ya aliyekuwa promota wa awali, Jay Msangi kueleza kujiondoa kuendelea kuliandaa pambano hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Francis Cheka mtoro shuleni

Licha ya kuamua kurudi shule, mwalimu anayesimamia programu ya bondia Francis ‘SMG’ Cheka, James Mkisi amesema bondia huyo aliingia darasani siku moja tu tangu aliposajiliwa kama mwanafunzi mpya wa Chuo cha St Joseph cha mjini Morogoro Septemba mwaka jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Francis cheka kumkabili Singwancha

Bondia wa Tanzania Fransic Cheka anatarajia kupanda ulingoni na bondia Kiatchai Singwancha kutoka Thailand

 

10 years ago

BBCSwahili

Francis Cheka : miaka mitatu jela

Bondia wa kulipwa nchini Tanzania, Francis Cheka, ambaye ni maarufu kwa jina la SMG, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela .

 

9 years ago

Mwananchi

Francis Cheka kumvaa Ajetovic Februari 27

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka atapanda ulingoni Februari 27 kuzichapa na Geard Ajetovic mwenye asili ya Serbia anayeishi England katika pambano la kuwania ubingwa wa mabara wa WBF.

 

10 years ago

GPL

FRANCIS CHEKA JELA MIAKA MITATU

BONDIA Francis Cheka (pichani) leo amehukumiwa miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga meneja wake wa baa mkoani Morogoro mwaka jana. Cheka amehukumiwa katika Mahakama ya…

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA FRANCIS CHEKA SASA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE

Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Mororogoro leo imetengua adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela kwa Bondia maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka na badala yake atatumikia kifungo cha nje na kulipa fidia ya Shilingi milioni moja.
Cheka alikuwa akikabiliwa na kosa la kumpiga na kumjeruhi Bahati Kibanda, ambaye alikuwa ni meneja wa baa yake iitwayo Vijana Social Hall iliopo mjini Morogoro.
Cheka anatumikia kifungo chake cha nje kwa kufanya kazi za serikali kwa muda wa masaa manne...

 

10 years ago

GPL

BONDIA FRANCIS CHEKA AACHIWA, KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE

BONDIA Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga ngumi meneja wa baa yake, amebadilishiwa adhabu ya kifungo. Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa kutumikia kifungo cha nje.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani