Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pambano la Cheka lasogezwa mbele

Pambano la Francis Cheka na Varely Brudov wa Russia lilililokuwa lifanyike Aprili 5 jijini Dar es Salaam limesogezwa mbele hadi litakapotajwa tena, huku lile la Francis Miyeyusho na Ronald Pontillas wa Ufilipino likibaki palepale.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kongamano la mchakato wa Katiba lasogezwa mbele

Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania limesema kwamba kongamano la kujadili chakato wa kutunga Katiba mpya na changamoto zake lililopangwa kufanyika Agosti 9 na 10  mwaka huu limesogezwa mbele, hivyo litatangaza tarehe ya kufanyika.
Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa  baraza hilo, Peter Mziray katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari mjini Dodoma leo.
“Kutokana na uzito wa kongamano hilo na kazi kubwa ya maandaliziyake, inayotokana na uwingi  na uzito wa wageni waalikwa,...

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha la Handeni Kwetu lasogezwa mbele, sasa kufanyika Desemba 20

TAMASHA la Utamaduni la NSSF Handeni Kwetu, sasa litafanyika Desemba 20, badala ya Desemba 13, kama ilivyotangazwa hapo awali, huku sababu kubwa ikiwa ni kuwaachia Watanzania washiriki katika mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, utakaofanyika Jumapili ya Desemba 14 nchini kote.Mratibu Mkuu wa Tamasha la NSSF Handeni Kwetu 2014, pichani akizungumza jambo katika tamasha la mwaka jana lililofanyika kwa mafanikio makubwa wilayani Handeni, mkoani Tanga. Akizungumzia hilo leo mjini...

 

11 years ago

Mwananchi

Pambano la Cheka, Mrussia hatihati

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na  Michezo imekiwekea ngumu Chama cha Ngumi za Kulipwa Tanzania (PST) kutoa kibali cha pambano la bondia Francis ‘SMG’ Cheka na Valery Brudov wa Russia kwa kile ilichoeleza hadi iombwe radhi kwa maandishi na promota wa pambano hilo, Jay Msangi.

 

11 years ago

Mwananchi

Pambano la Cheka sasa kufanyika Machi 1

Bondia Francis ‘SMG’ Cheka ameumia mkono wakati akifanya mazoezi ya kupigana na mdogo wake Cosmas hivyo kulazimika pambano lake na Valery Brudov wa Russia kusogezwa hadi Machi Mosi.

 

11 years ago

Mwananchi

Promota Kova ajitwisha pambano la Cheka, Brudov

Pambano la Francis Cheka na Varely Brudov wa Russia sasa litasimamiwa na promota mpya, Mussa Kova kutoka Kampuni ya Mawenzi Focus International Ltd baada ya aliyekuwa promota wa awali, Jay Msangi kueleza kujiondoa kuendelea kuliandaa pambano hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapambano ya Cheka, Miyeyusho yasogezwa mbele

Pambano la Francis Cheka na Varely Brudov wa Russia limesogezwa mbele hadi Aprili 5 wakati lile la Francis Miyeyusho na Viktor Chernous wa Ukraine sasa litafanyika Machi Mosi kwenye ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Vijimambo

PAMBANO HILI NI LEO USIKU LAKINI LINAONEKANA KUDODA SIYO KAMA PAMBANO LILILOPITA MAYWEATHER NA PAC.



Je,unamshabikia nani katika pigano la kesho kati ya bingwa wa ndondi duniani uzani wa welter Floyd Mayweather na Andre Berto?

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani