Tamasha la Handeni Kwetu lasogezwa mbele, sasa kufanyika Desemba 20
TAMASHA la Utamaduni la NSSF Handeni Kwetu, sasa litafanyika Desemba 20, badala ya Desemba 13, kama ilivyotangazwa hapo awali, huku sababu kubwa ikiwa ni kuwaachia Watanzania washiriki katika mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, utakaofanyika Jumapili ya Desemba 14 nchini kote.Mratibu Mkuu wa Tamasha la NSSF Handeni Kwetu 2014, pichani akizungumza jambo katika tamasha la mwaka jana lililofanyika kwa mafanikio makubwa wilayani Handeni, mkoani Tanga. Akizungumzia hilo leo mjini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTAMASHA LA HANDENI KWETU KUFANYIKA DESEMBA 31 WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-r8fysY5OXRo/VAQW4UyzX0I/AAAAAAAAIQ0/bnvYT0qN5zo/s1600/handeni%2B1.jpg)
10 years ago
Michuzi01 Sep
Tamasha la Handeni Kwetu kufanyika Desemba 13
Katika tamasha hilo linalofanyika kwa mara pili, burudani mbalimbali za ngoma za asili zinatarajiwa kuonekana jukwaani, ambapo pia vikundi kutoka nje ya Handeni, mkoani Tanga navyo vitaalikwa kwa ajili ya kwenda kutoa burudani wilayani humo.
Akizungumzia hilo, jijini Dar es Salaam, Mratibu Mkuu wa tamasha hilo, Kambi Mbwana, alisema...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Tamasha la NSSF Handeni Kwetu sasa Desemba 20
TAMASHA la Utamaduni la NSSF Handeni Kwetu, sasa litafanyika Desemba 20, badala ya Desemba 13, kama ilivyotangazwa hapo awali kupisha mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika kote...
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Tamasha la ‘Handeni Kwetu’ Desemba 13
TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama ‘Handeni Kwetu’ limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Katika tamasha hilo linalofanyika kwa mara pili, burudani...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9pdvb2Vf9Dk/Vkjwb5r6PeI/AAAAAAADCbk/5CGDXJbnHAo/s72-c/_MG_0920.jpg)
TAMASHA LA KUMSHUKURU MUNGU SASA KUFANYIKA DESEMBA 25 DIAMOND JUBILEE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-9pdvb2Vf9Dk/Vkjwb5r6PeI/AAAAAAADCbk/5CGDXJbnHAo/s640/_MG_0920.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Z-E_K9kTFcA/VkjwdXkZumI/AAAAAAADCbo/UVWfRI-g76A/s640/_MG_0939.jpg)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki kuhusu maandalizi ya tamasha la kumshukuru Mungu kwa amani na utulivu wakati...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VHCdeij9wWM/U-ssQPehP7I/AAAAAAAF_Hs/XNXOX99tE3I/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-08-13%2Bat%2B12.10.27%2BPM.png)
9 years ago
Habarileo02 Nov
Uchaguzi Handeni, Arusha Mjini kufanyika Desemba 12
UCHAGUZI wa ubunge kwa majimbo ya Handeni na Arusha Mjini umepangwa kufanyika Desemba 12, mwaka huu.
10 years ago
MichuziTamasha la Handeni Kwetu lawapigia magoti wadhamini
WADAU wa mambo ya utamaduni yakiwamo mashirika, makampuni na watu mbalimbali wameombwa kujitokeza kuliwezesha tamasha la Handeni Kwetu 2014, lililopangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu wilayani Handeni, mkoani Tanga.
Tamasha hilo linafanyika huku mwaka jana likiwezeshwa kwa kiasi kikubwa na Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ushirikiano na wadau mbalimbali walioliwezesha tamasha hilo kwa mara ya kwanza katika Historia ya Mkoa wa Tanga.
Akizungumza mjini hapa, Mratibu Mkuu wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gzhegbA0bcQ/VA1x4X--efI/AAAAAAAGhqM/8rt8LqhT0xM/s72-c/Handeniii%2B(1).jpg)
Tamasha la 'Handeni Kwetu' lapania kuvunja rekodi
![](http://3.bp.blogspot.com/-gzhegbA0bcQ/VA1x4X--efI/AAAAAAAGhqM/8rt8LqhT0xM/s1600/Handeniii%2B(1).jpg)
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mbwana alisema kuwa hiyo ni kutokana na kutamani kushirikisha wasanii wengi kutoka Tanga na Tanzania kwa ujumla.
Alisema kwamba mwaka jana wasanii zaidi ya 200 walionyesha uwezo wao kutoka kwa vikundi...