Video: Profesa J azungumzia sababu zinazomfanya aendelee kuwepo vizuri kimuziki
Tangu anatoka akiwa na kundi la Hard Blasters Crew, na baadaye kuja kuachia album nne ambazo ni Machozi Jasho na Damu (2001), Mapinduzi Halisi (2003), J.O.S.E.P.H (2006) na Aluta Continua (2007), Profesa ameendelea kufanya vizuri kwenye muziki na sasa anafanya vizuri na wimbo aliomshirikisha Diamond Platnumz ‘Kipi Sijasikia’. Kwenye video hii, Mchawi wa Rhymes anaelezea […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo522 Jul
Video: Linah azungumzia video ya Ole Themba, aeleza sababu ya kuonesha utamaduni wa kizulu
Linah amesema uamuzi wa kutumia utamaduni wa kizulu kwenye video yake ya ‘Ole Themba’ (‘tumaini’ kwa Kiswahili), ni kutanua soko la muziki na pia Afrika Kusini ni kama ndugu wa Tanzania hivyo anaamini kubalishana utamaduni ni jambo jema. Akiongea kwenye mahojiano na Bongo5, Linah amesema video ya wimbo huo imeigharimu kampuni inayomsimania, No Fake Zone, […]
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2cgQuBR1CohPL4e4fEdFwts33H7cX9y6c52REH12ZHSvJJViFnwN5vuAWYjUPPK9gq9PAz5ipyseGm5pqZ4omlNnVwjtI-Vz/pre2.jpg?width=650)
ELEWA SABABU ZINAZOMFANYA MWANAMKE ASIPATE MIMBA!
Wanawake wengi wanataka niwaeleze kitaalam sababu za kutopata mimba. Zipo sababu nyingi zinazoweza kumfanya mwanamke asipate ujauzito. Miongoni mwa sababu hizo ni kuwa na tatizo la mfumo wa homoni katika mwili wa mwanamke ambapo hutawaliwa na homoni hizo ambazo kemikali za asili zimo ndani ya mwili.
Yakitokea mabadiliko kidogo wakati wa uzalishaji wa homoni hizo huweza kusababisha mwanamke ashindwe kupata mimba. Lipo tatizo la...
9 years ago
Bongo513 Oct
Wizkid ataja sababu zinazomfanya asishobokee tuzo
Ukijaribu kumfatilia Wizkid utagundua kuwa ni msanii mkubwa wa Afrika ambaye amekuwa akitajwa kuwania tuzo mbalimbali, lakini huwa hajishughulishi kabisa kufanya kampeni ya kuhamasisha mashabiki wake kupiga kura kama wafanyavyo wasanii wengine na matokeo yake tuzo nyingi huwa hashindi. Staa huyo wa Nigeria ambaye anatarajia kuja Tanzania mwisho wa mwezi huu amemjibu shabiki wa Tanzania […]
11 years ago
Bongo518 Jul
Video: Madee azungumzia sababu iliyofanya amsamehe Dogo Janja
Hivi karibuni, Tip Top Connection iliamua kumrejesha tena kundini mwana mpotevu, Dogo Janja aliyeondoka mwaka 2012 baada ya kushindwa kuelewana na Madee. Dogo Janja aliongea maneno mengi yaliyomfanya Madee aonekane mtu mbaya jambo ambalo lilimchukua muda mrefu Madee kurudisha tena moyo wake kwa rapper huyo wa Arusha. Madee ameiambia Bongo5 kuwa kabla ya kukubali arejee […]
10 years ago
Bongo501 Sep
Country Boy azungumzia jinsi Kajala alivyomtoa kimuziki
Rapper Ibrahim Ayoub Mandingo aka ‘Country Boy’ amefunguka siri iliyomfanya kung’aa katika muziki kwa mara ya kwanza kuwa ni sababu ya staa wa filamu, Kajala Masanja aliyemlipia pesa ya kwenda studio. Akizungumza na Global TV, Country Boy alisema Kajala alikuwa msaada mkubwa kwake katika kumwezesha kifedha hivyo anamheshimu. “Mwanzo ulikuwa ngumu kidogo kwa my family […]
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Angel ataja sababu zinazowakwamisha wanawake kimuziki
Msanii aliyewahi kutamba katika Mashindano ya Tusker Project Fame 2013, Angella Karashani maarufu Angel, amesema kuwa uhaba wa mameneja wa kike ni miongoni mwa sababu zinazokwamisha maendeleo ya muziki kwa wanawake nchini.
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Hatujapotea kimuziki, ukimya wetu una sababu
Na yeye kwangu mimi, ukweli sijiwezi, na mimi kwake yeye ukweli sijiwezi, cheza kibabababa,hanikatai hata kama sivai tai……… ni wimbo na mtindo wa uchezaji ulioshika kila kona ya jiji la Dar es Salaam
10 years ago
Vijimambo20 Jan
HII HAPA INAMHUSU YULE KIKONGWE ALIYEVUNJA HISTORIA KWA KUJIANDALIA JENEZA, HIZI HAPA SABABU ZINAZOMFANYA AJIANDAE KWA KIFO
10 years ago
GPLPROFESA KINABO AZUNGUMZIA UTAPIAMLO
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wataalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe, Profesa Joyce Kinabo (katikati)akizungumza jambo, kushoto niAfisa Mawasiliano wa ‘TFNC’,  Herbert Gowelle pamoja na Dkt. Joyceline Kaganda, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania. Wandishi wa habari wakichukua taarifa. RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wataalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe Afrika, Profesa Joyce...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania