Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA KINABO AZUNGUMZIA UTAPIAMLO

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wataalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe, Profesa Joyce Kinabo (katikati)akizungumza jambo, kushoto niAfisa Mawasiliano wa ‘TFNC’,  Herbert Gowelle pamoja na Dkt. Joyceline Kaganda, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania. Wandishi wa habari wakichukua taarifa. RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wataalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe Afrika, Profesa Joyce...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Video: Profesa J azungumzia sababu zinazomfanya aendelee kuwepo vizuri kimuziki

Tangu anatoka akiwa na kundi la Hard Blasters Crew, na baadaye kuja kuachia album nne ambazo ni Machozi Jasho na Damu (2001), Mapinduzi Halisi (2003), J.O.S.E.P.H (2006) na Aluta Continua (2007), Profesa ameendelea kufanya vizuri kwenye muziki na sasa anafanya vizuri na wimbo aliomshirikisha Diamond Platnumz ‘Kipi Sijasikia’. Kwenye video hii, Mchawi wa Rhymes anaelezea […]

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali yapania kutokomeza utapiamlo

NA SOPHIA ASHERY
SERIKALI imesema itaweka mikakati kuhakikisha inatokomeza utapiamlo nchini na kutoa elimu ya lishe kuanzia ngazi za awali katika jamii.
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo, wakati akifungua warsha ya siku tatu kujadili mikakati ya kutoa elimu juu ya lishe bora.
Pallangyo alisema Tanzania inayo idadi kubwa ya watoto na wanawake wajawazito, ambao wana utampiamlo unaosababishwa na kukosekana kwa lishe bora, hali ambayo...

 

10 years ago

Habarileo

RC ataka itolewe elimu ya utapiamlo

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa ametaka maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Maziwa ya Mama itumike kutoa elimu itakayosaidia kupunguza tatizo la utapiamlo linalosababisha udumavu.

 

10 years ago

Michuzi

UTAPIAMLO TISHIO KWA NCHI ZINAZOENDELEA

Na Chalila Kibuda,Globu Jamii IMEELEZWA kuwa asilimia 60 ya watoto wenye umri kati ya  mwaka mmoja  na miaka mitano  katika Mkoa wa Lindi  wanautapiamlo Sugu ambao ni udumavu wa kimo na viungo vya ndani vya mwili kwa kukosa lishe  bora. Ukosefu umekuwa ukiwafanya watoto wa Mkoa wa Lindi kupata magonjwa ambayo yanachangiwa na  kukosa  kinga ambazo zinatokana  na vyakula vyenye vitutubisho. Hayo aliyasema Meneja mradi wa Jukwaa la lishe Tanzania(Panita) Joseph Mugyabuso wakati akieleza hali...

 

10 years ago

Dewji Blog

ANGONET yahamasisha lishe kutokomeza udumavu na Utapiamlo

IMG_0422

Katibu Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali la ANGONET lenye makao makuu  jijini Arusha, Petter Bayo (kushoto)  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya masuala ya lishe na kuitaka serikali iweke vipaumbele katika lishe ili kutokomeza matatizo ya udumavu na utapiamlo. Katikati ni Mratibu wa Angonet, Petro Ahham na kulia ni Jovitha Mlay mwanachama wa shirika hilo.(Picha na Mahmoud Ahmad).

IMG_0437

Mratibu wa Angonet ,Petro Ahham akifafanua juu ya Mkakati wa Lishe wa taifa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Utapiamlo; tatizo sugu linalotesa wengi Kilindi

Kwenye duka mojawapo lililopo katika eneo la Mgera wilayani Kilindi mkoani Tanga, nakutana na mama mwenye mawazo mengi, mkononi amewapakata watoto wawili ambao wanalia muda wote.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Bagadanshwa: Profesa aliyeshinda vikwazo vya kuwa mlemavu wa kutoona

Baadhi ya watu wenye ulemavu wanathibitisha kuwa ulemavu si kikwazo cha binadamu kutafuta haki ya msingi ya kupata elimu.

 

10 years ago

Habarileo

Mkoa tajiri kwa chakula taabani kwa utapiamlo

LICHA ya kuwa miongoni mwa mikoa sita nchini inayoongoza kulima ziada kubwa ya chakula hususani mahindi na mpunga, bado Mkoa wa Katavi una kiwango cha juu cha watoto chini ya miaka mitano wenye utapiamlo mkali na unaowasababishia udumavu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani