Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTAPIAMLO TISHIO KWA NCHI ZINAZOENDELEA

Na Chalila Kibuda,Globu Jamii IMEELEZWA kuwa asilimia 60 ya watoto wenye umri kati ya  mwaka mmoja  na miaka mitano  katika Mkoa wa Lindi  wanautapiamlo Sugu ambao ni udumavu wa kimo na viungo vya ndani vya mwili kwa kukosa lishe  bora. Ukosefu umekuwa ukiwafanya watoto wa Mkoa wa Lindi kupata magonjwa ambayo yanachangiwa na  kukosa  kinga ambazo zinatokana  na vyakula vyenye vitutubisho. Hayo aliyasema Meneja mradi wa Jukwaa la lishe Tanzania(Panita) Joseph Mugyabuso wakati akieleza hali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Ykileo

UHALIFU MTANDAO NI TISHIO KWA UCHUMI WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Mkutano wa “Connect East Africa” uliofanyika Diani Nchini Kenya umekamilika huku ukibaini yakua Uchumi wanchi za Afrika mashariki umeathiriwa sana na uhalifu mtandao kiasi ambacho mambo matano ya juu yanayo athiri uchumi wa nchi za afrika mashariki ni pamoja na Uhalifu mtandao.


Akitolea Ufafanuzi kauli hiyo Meneja wa PwC bwana. John Kamau alieleza uhalifu mtandao umeendelea kutengeneza vichwa vya habari nabado utaendelea kufanya hivyo kwa muda. Na kwa sasa tayari uhalifu huu umeingia katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Asilimia 70 ya wagonjwa wa saratani hupoteza maisha katika nchi zinazoendelea

Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta akitambulishwa wake wa marais kutoka nchi mbalimbali za Afrika na Mkewe mama Margaret Kenyatta kabla ya kufungua mkutano wa tisa wa Jukwaa la wake wa marais wa Afrika la kutokomeza magonjwa ya saratani za mfumo wa uzazi ambazo ni mlango wa kizazi, matiti na tezi dume unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Kenyatta (KICC) uliopo mjini Nairobi. Kushoto ni Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete.Na Anna Nkinda –...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini kunawa mikono ni vigumu katika baadhi ya nchi zinazoendelea

Ushauri wa WHO ni vigumu kuzingatiwa katika mataifa yanayoendelea.

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YAENDELEA KUZIOMBA TAASISI ZA FEDHA ZA KIMATAIFA KUSAMEHE MADENI NCHI ZINAZOENDELEA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamamba John Kabudi akifuatilia mkutano wa Marais, Mawaziri Wakuu pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Madola uliofanyika kwa njia ya mtandao (video conference) leo katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam

……………………………………………………………………

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuziomba taasisi za fedha za kimataifa pamoja na nchi za Jumuiya ya madola kufikiria kufuta kabisa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Asilimia 70 ya wagonjwa wa saratani hupoteza maisha katika nchi zinazoendelea — Mhe. Uhuru Kenyatta

12_7

Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta akitambulishwa wake wa marais kutoka nchi mbalimbali za Afrika na Mkewe mama Margaret Kenyatta  kabla ya kufungua mkutano wa tisa wa Jukwaa la wake wa marais wa Afrika la kutokomeza magonjwa ya saratani za mfumo wa uzazi ambazo ni mlango wa kizazi, matiti na tezi dume unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Kenyatta (KICC) uliopo mjini Nairobi. Kushoto ni Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete.

CKV9RFDWoAA1kFz

Na Anna Nkinda –...

 

10 years ago

Habarileo

Mkoa tajiri kwa chakula taabani kwa utapiamlo

LICHA ya kuwa miongoni mwa mikoa sita nchini inayoongoza kulima ziada kubwa ya chakula hususani mahindi na mpunga, bado Mkoa wa Katavi una kiwango cha juu cha watoto chini ya miaka mitano wenye utapiamlo mkali na unaowasababishia udumavu.

 

11 years ago

Habarileo

Mabadiliko tabia nchi tishio Zanzibar

MABADILIKO ya tabia nchi yameathiri visiwa vya Zanzibar na kutishia ustawi wa kilimo hususani cha mpunga.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini malaria ni tishio kwa mama mjamzito?

‘Wekeza kwa maisha ya baadaye, ishinde Malaria’ hii ni kauli mbiu ya mwaka huu katika maadhimisho ya siku ya Malaria duniani ambayo inaadhimishwa leo duniani kote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani