Kwa nini malaria ni tishio kwa mama mjamzito?
‘Wekeza kwa maisha ya baadaye, ishinde Malaria’ hii ni kauli mbiu ya mwaka huu katika maadhimisho ya siku ya Malaria duniani ambayo inaadhimishwa leo duniani kote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y6hyo7XZ0eF-suJwVBPgW6II4J3Uk61K3GC2EN0P2pgQcpA3FZwHgfOapZWrAnh4g2dgervoocnERvz43FOdV2I-YkRcljF4/MIMBA.jpg?width=650)
UGONJWA WA MALARIA KWA MJAMZITO
Malaria ni maambukizi ya seli nyekundu za damu inayosababishwa na vimelea vinavyoitwa kitaalamu, Plasmodiumu. Plasmodiumu hawa husambazwa na mbu  aina ya Anofelesi. Mbu hutoa parasiti za malaria na kukomaa katika seli nyekundu za damu na mamilioni ya parasiti hukusanyika katika plasenta ya mjamzito.Malaria ni hatari zaidi kwa wajawazito kuliko watu ambao hawana mimba. Dalili za malaria
Mama mjamzito anakuwa na dalili...
11 years ago
Habarileo03 May
Ukimwi, malaria bado tishio kwa Taifa
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka Watanzania kutambua kuwa magonjwa ya Ukimwi na malaria, bado ni tishio kwa Taifa na ni lazima mapambano dhidi ya magonjwa hayo, yaendelee. Alisema hayo alipokuwa akizindua mbio za Mwenge wa Uhuru kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini hapa jana.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-A4ng9e8SUS4/U5RKfTJRleI/AAAAAAAAFl0/l134agmH7ms/s72-c/IMG_2273.jpg)
MKUU WA WILAYA YA NKASI AZINDUA HUDUMA YA OPTION B PLUS MKOANI RUKWA (TIBA YA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU KUTOKA KWA MAMA MJAMZITO KWENDA KWA MTOTO
![](http://3.bp.blogspot.com/-A4ng9e8SUS4/U5RKfTJRleI/AAAAAAAAFl0/l134agmH7ms/s1600/IMG_2273.jpg)
5 years ago
BBCSwahili24 Feb
Je ni kwa nini mama huyu alimuoa binti mwenye umri wa mwanawe?
Wakati walipoanza kuchumbiana, hawakujionyesha moja kwa moja kuwa wapenzi wa jinsia moja.
5 years ago
BBCSwahili20 May
Virusi vya corona: Kwa nini watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama Ukraine?
Watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama nchini Ukraine kutokana na masharti ya kutotoka nje kukabiliana na virusi vya corona.
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Hakuna kulala malaria bado tishio
Hapana shaka kuwa ugonjwa wa malaria umelitesa Bara la Afrika kwa miaka nenda rudi. Kila mmoja hapa nchini amepoteza ndugu, rafiki au jamaa kutokana na ugonjwa huu.
10 years ago
GPLKWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta ikiwemo wenye daladala na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2029 kwa Petroli na 1909 kwa dizeli, bei...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania