Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hakuna kulala malaria bado tishio

Hapana shaka kuwa ugonjwa wa malaria umelitesa Bara la Afrika kwa miaka nenda rudi. Kila mmoja hapa nchini amepoteza ndugu, rafiki au jamaa kutokana na ugonjwa huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ukimwi, malaria bado tishio kwa Taifa

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka Watanzania kutambua kuwa magonjwa ya Ukimwi na malaria, bado ni tishio kwa Taifa na ni lazima mapambano dhidi ya magonjwa hayo, yaendelee. Alisema hayo alipokuwa akizindua mbio za Mwenge wa Uhuru kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini hapa jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kilizindua mkakati wake wa ushindi “Hakuna kulala, hakuna kula mpaka kieleweke” katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kufungua mafunzo yatakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa vyama na Serikali za Mitaa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Hakuna kulala

WIKI tatu kabla ya kuhitimishwa kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu, vyama vyenye ushindani mkubwa Chama

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Habarileo

Yanga hakuna kulala

ZIKIWA zimesalia takribani wiki mbili kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga wamepanga kujichimbia Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho. Kwa sasa timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo zipo mafichoni kujiweka sawa kabla kipute hakijaanza rasmi Septemba 12, mwaka huu kwa msimu wa 2015-16.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira: Hakuna kulala

Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema endapo atafanikiwa kuingia madarakani, Serikali yake itafanya kazi kwa staili ya ‘hakuna kulala’ kulinda haki ya wafugaji na wakulima na hatimaye kumaliza migogoro ardhi inayotokea baina yao.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Hakuna kulala

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amesema hakutakuwa na muda wa kupoteza iwapo atachaguliwa akisema ataanza kushughulikia ahadi zote ikiwamo ya ujenzi wa viwanda kwa ajili ya kutatua tatizo la ajira mara tu baada ya kuapishwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Hakuna kulala leo

Mechi kubwa ya wiki, labda ni mechi kubwa zaidi ya mwezi huu ya Ligi Kuu England itachezwa leo usiku kwenye Uwanja wa Etihad mjini Manchester.

 

10 years ago

Mwananchi

Uhuru, Kisiga hakuna kulala

Kutokana na ushindani wa namba katika kikosi cha Simba, viungo wa timu hiyo, Shaaban Kisiga na Uhuru Selemani wamejikuta wakilazimika kufanya mazoezi binafsi baada ya kocha wao, Patrick Phiri kuwapa mapumziko juzi Jumapili.

 

9 years ago

Habarileo

Hakuna kulala Ligi Kuu

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara na mabingwa watetezi, Yanga, leo watakuwa tena kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania pointi tatu dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya katika mechi ya raundi ya pili ya ligi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani