Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkoa tajiri kwa chakula taabani kwa utapiamlo

LICHA ya kuwa miongoni mwa mikoa sita nchini inayoongoza kulima ziada kubwa ya chakula hususani mahindi na mpunga, bado Mkoa wa Katavi una kiwango cha juu cha watoto chini ya miaka mitano wenye utapiamlo mkali na unaowasababishia udumavu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UTAPIAMLO TISHIO KWA NCHI ZINAZOENDELEA

Na Chalila Kibuda,Globu Jamii IMEELEZWA kuwa asilimia 60 ya watoto wenye umri kati ya  mwaka mmoja  na miaka mitano  katika Mkoa wa Lindi  wanautapiamlo Sugu ambao ni udumavu wa kimo na viungo vya ndani vya mwili kwa kukosa lishe  bora. Ukosefu umekuwa ukiwafanya watoto wa Mkoa wa Lindi kupata magonjwa ambayo yanachangiwa na  kukosa  kinga ambazo zinatokana  na vyakula vyenye vitutubisho. Hayo aliyasema Meneja mradi wa Jukwaa la lishe Tanzania(Panita) Joseph Mugyabuso wakati akieleza hali...

 

9 years ago

Michuzi

VOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE YUPO WASHINGTON DC KWA AJILI YA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

 Kushoto ni Mtangazaji Voice of America  wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa kuhusiana na Shindano la Mama shujaa wa chakula na Jinsi linavyo wasaidia wakulima hasa wanawake.Bahati Muliga(Kushoto)  Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa tatu, shindano linaloandaliwa na Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu yao ni Wekeza kwa Wakulima wadogo wadogo inalipa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajali:Polisi taabani kwa kudanganya Kenya

Wakenya wameikashifu idara ya polisi wa barabarani na kamishna mkuu kwa kujaribu kuficha ukweli kuhusu pasta 'aliyesababisha kifo na ajali' ya barabarani

 

10 years ago

BBCSwahili

Shirika la ndege taabani kwa kupakua mjusi

Shirika la ndege la Air India limejipata matatani baada ya habari kuenea kuwa lilimpakulia mteja wake mjusi

 

5 years ago

BBCSwahili

Je unatumia viungo vya chakula kwa namna inayofaa kwa manufaa ya afya yako?

Viungo kwenye chakula vimekuwa vikitumiwa kwa miaka mingi sana. Binzari' Turmeric' na pilipili zimefanyiwa utafiti katika miongo ya hivi karibuni... Lakini je huwa tunatumia viungo hivyo ipasavyo kwa ajili ya afya zetu au la?

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yajitosheleza kwa chakula kwa asilimia 124

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) juu ya mafanikio ya uzalishaji wa chakula nchini kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) kwenye viwanja vya Wakala wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkuregenzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

MUME KWA MKE TAJIRI

UME KWA MKE TAJIRI Mke akiwa tajiri, mwanamume maskini Hana uwezo fakiri, mke hatamthamini Natunga hili shairi, nisemayo naamini Mume kwa mke tajiri

 

10 years ago

BBCSwahili

Mhudumu wa baa taabani kwa kifo cha mteja

Muhudumu mmoja wa baa amepatikana na hatia ya mauaji baada ya kumpa mteja wake jumla ya vipimo 56 vya pombe kisha akafa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani