Serikali yapania kutokomeza utapiamlo
![](http://3.bp.blogspot.com/-04rRLXVl3j8/VCJQxeofJhI/AAAAAAAABsI/N3K-WGH1ecQ/s72-c/palangyo.jpg)
NA SOPHIA ASHERY
SERIKALI imesema itaweka mikakati kuhakikisha inatokomeza utapiamlo nchini na kutoa elimu ya lishe kuanzia ngazi za awali katika jamii.
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo, wakati akifungua warsha ya siku tatu kujadili mikakati ya kutoa elimu juu ya lishe bora.
Pallangyo alisema Tanzania inayo idadi kubwa ya watoto na wanawake wajawazito, ambao wana utampiamlo unaosababishwa na kukosekana kwa lishe bora, hali ambayo...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 Jun
ANGONET yahamasisha lishe kutokomeza udumavu na Utapiamlo
Katibu Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali la ANGONET lenye makao makuu jijini Arusha, Petter Bayo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya masuala ya lishe na kuitaka serikali iweke vipaumbele katika lishe ili kutokomeza matatizo ya udumavu na utapiamlo. Katikati ni Mratibu wa Angonet, Petro Ahham na kulia ni Jovitha Mlay mwanachama wa shirika hilo.(Picha na Mahmoud Ahmad).
10 years ago
Bongo529 May
Serikali yapania kumchukulia hatua Shilole
10 years ago
Habarileo11 Mar
Serikali yapania uvuvi na ufugaji wa kisasa
TANZANIA imedhamiria kuanzisha mpango wa ufugaji na uvuvi wa kisasa ili kuiwezesha sekta hiyo kuiingizia taifa pato kubwa.
11 years ago
Dewji Blog15 Apr
Serikali yapania Kuondoa Tatizo la Dawa katika Hospitali za Umma
Mkurugenzi wa shughuli za Kanda na Huduma kwa wateja toka Bohari ya Dawa (MSD) Bw. Edward Terry Kulia akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo juu ya mpango wa bohari hiyo kupanua maghala ya kuhifadhi Dawa na Vifaa tiba kama moja ya hatua za kuboresha huduma zinazotolewa na Bohari hiyo . Kushoto ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa Bohari hiyo Bw. Heri Mchunga.
Mkurugenzi wa Manunuzi Bohari ya Dawa (MSD) Bw. Heri Mchunga akielezea kwa waandishi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fQCpCLYwF8I/XlKYEWvAf9I/AAAAAAALe6o/XzSLuU5nfPw4edSfLT_0BGRWqw8ig-uRwCLcBGAsYHQ/s72-c/c30b82d3-b90b-4b71-ad7d-e881d18841eb.jpg)
SERIKALI YAJIPANGA KUTOKOMEZA MAGONJWA YA MIFUGO NCHINI.
![](https://1.bp.blogspot.com/-fQCpCLYwF8I/XlKYEWvAf9I/AAAAAAALe6o/XzSLuU5nfPw4edSfLT_0BGRWqw8ig-uRwCLcBGAsYHQ/s640/c30b82d3-b90b-4b71-ad7d-e881d18841eb.jpg)
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akikagua eneo linalotumika kuchoma nyama kwenye mnada wa Ndelema uliopo katika Halmashauri ya Mji wa Handeni Mkoani Tanga wakati akihitimisha ziara yake wilayani .
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/d0d56dc4-aeef-4d77-8db0-5f2c3e9bc4fd.jpg)
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (katikati) akiangalia moja ya aina za samaki zinazopatikana katika bwawa la samaki la asili lililopo Kijiji cha Kweingoma Wilaya Handeni Vijijini.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/0a58e3ec-5f39-4118-8988-3aa651498f35.jpg)
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akizungumza na wafugaji na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Az1Kj4V3yiA/Xkp8velAEMI/AAAAAAAAIGw/7C2SmrLAq3cZfdRseF8xYRvH3k8KWw_lwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200216-WA0095.jpg)
WADAU WA MAENDELEO WAGUSWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTOKOMEZA MIMBA ZA MASHULENI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Az1Kj4V3yiA/Xkp8velAEMI/AAAAAAAAIGw/7C2SmrLAq3cZfdRseF8xYRvH3k8KWw_lwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200216-WA0095.jpg)
Na Ahmed Mahmoud ArushaONGEZEKO la idadi ya wanafunzi wanaokatishwa masomo kwa kupewa mimba limeibua hofu kwa wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi, ambao baadhi yao wameshindwa kuvumilia na kuamua kuungana na serikali kusaidia kukabiliana na tatizo hilo La Mimba kwa wanafunzi wakike.
Na Miongoni wa wadau hao kutoka nje ya nchi ni pamoja na wahisani Kutoka Nchi ya Korea ambao wamejitolea kusaidia nakwa Upande wa ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-A97rRFfuDlc/XtyAii9BQyI/AAAAAAALs3k/toHBU86pH0s2UwBc49VZYvpW0skTBHYUwCLcBGAsYHQ/s72-c/7fce7c90d38ac4c90a41698c6a00dbdb.jpg)
SERIKALI KUWEKA MKAKATI MADHUBUTI KUTOKOMEZA MAGONJWA SUGU KWA MIFUGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-A97rRFfuDlc/XtyAii9BQyI/AAAAAAALs3k/toHBU86pH0s2UwBc49VZYvpW0skTBHYUwCLcBGAsYHQ/s640/7fce7c90d38ac4c90a41698c6a00dbdb.jpg)
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka mkakati madhubuti wa kutokomeza Magonjwa yanayoandama mifugo ili kuwa na mifugo bora itakayozalisha kwa tija na kukuza uchumi wa nchi.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Tanzania, Profesa Hezron Nonga katika Mkutano wa 45 wa Baraza la Veterinari uliofanyika jijini Dodoma Juni 4,
2020.
Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo, Profesa Nonga alisema kuwa Tanzania kuna...
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Serikali yaahidi kushirikiana na mashirika na wadau wa habari kutokomeza vitendo vya ukatili kwa waandishi wa habari
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa Radio Jamii Tanzania (COMNETA), Balozi Mstaafu, Christopher Liundi alipowasili katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano kuhusu hali ya usalama wa waandishi wa habari, uzinduzi wa kikosi kazi cha usalama wa waandishi wa habari na uandishi unaozingatia maadili ulioandaliwa na UNESCO. Kulia ni...