Serikali yapania kumchukulia hatua Shilole
Serikali imeahidi kumchukulia Shilole kufuatia kusambaa kwa picha zake chafu zilizopigwa wakati akitumbuiza nchini Ubelgiji. Akizungumza bungeni Dodoma leo, Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Mkamia, wakati akijibu hoja za wabunge baada ya kusoma makadirio na matumizi wa wizara hiyo, alisema tayari serikali imeliagiza baraza la sanaa taifa BASATA kufanya naye mahojiano. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Kijiwe kumchukulia hatua Lukuviii
BAADA ya Waziri Bill Lukuviii kutangaza mapinduzi dhidi ya mamlaka ya wachovu, kijiwe kimekaa kama kamati kumpa vipande vyake pamoja na kumtaka bosi wake amwajibishe kabla wana kijiwe hawajamtokea na...
9 years ago
Bongo528 Sep
TFF kumchukulia hatua mchezaji ‘anayewapiga dole’ wenzie uwanjani, Juma Nyoso
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Maamuzi mabovu na utendaji mbaya wa kazi wawapelekea wenyekiti kumchukulia hatua mwenyekiti wao wa kijiji
Wanafunzi katika shule ya msingi Shenda wakiwa wamekaa kwenye moja ya darasa lililosakafiwa.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kilio toka kwa wananchi kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma unaofanywa na viongozi waliowachagua pasipo kuchukua hatua zozote. Ukimya huu wa wananchi ndio unaosababisha kilio hicho kuendelea kukuwa kila siku. Ila vilio hivi huishaga pale tu wananchi wanapoamua kwa dhati kuchukua hatua, kama walivyofanya wananchi wa kijiji cha Shenda. Shenda ni moja kati ya vijiji...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-04rRLXVl3j8/VCJQxeofJhI/AAAAAAAABsI/N3K-WGH1ecQ/s72-c/palangyo.jpg)
Serikali yapania kutokomeza utapiamlo
![](http://3.bp.blogspot.com/-04rRLXVl3j8/VCJQxeofJhI/AAAAAAAABsI/N3K-WGH1ecQ/s1600/palangyo.jpg)
SERIKALI imesema itaweka mikakati kuhakikisha inatokomeza utapiamlo nchini na kutoa elimu ya lishe kuanzia ngazi za awali katika jamii.
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo, wakati akifungua warsha ya siku tatu kujadili mikakati ya kutoa elimu juu ya lishe bora.
Pallangyo alisema Tanzania inayo idadi kubwa ya watoto na wanawake wajawazito, ambao wana utampiamlo unaosababishwa na kukosekana kwa lishe bora, hali ambayo...
10 years ago
Habarileo11 Mar
Serikali yapania uvuvi na ufugaji wa kisasa
TANZANIA imedhamiria kuanzisha mpango wa ufugaji na uvuvi wa kisasa ili kuiwezesha sekta hiyo kuiingizia taifa pato kubwa.
11 years ago
Dewji Blog15 Apr
Serikali yapania Kuondoa Tatizo la Dawa katika Hospitali za Umma
Mkurugenzi wa shughuli za Kanda na Huduma kwa wateja toka Bohari ya Dawa (MSD) Bw. Edward Terry Kulia akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo juu ya mpango wa bohari hiyo kupanua maghala ya kuhifadhi Dawa na Vifaa tiba kama moja ya hatua za kuboresha huduma zinazotolewa na Bohari hiyo . Kushoto ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa Bohari hiyo Bw. Heri Mchunga.
Mkurugenzi wa Manunuzi Bohari ya Dawa (MSD) Bw. Heri Mchunga akielezea kwa waandishi wa...
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Serikali ichukue hatua matatizo ya ardhi
10 years ago
StarTV04 Feb
Serikali kuwachukulia hatua wanaohatarisha amani.
Na Lilian Mtono,
Dar Es Salaam.
Serikali ya Tanzania imesema haitavumilia kuona matukio yanayofanyika kinyume cha sheria na taratibu za nchi yanayolenga kuhatarisha amani bila kuchukua hatua dhidi ya wahusika kwa madai kuwa zinakiuka haki za binadamu.
Imesema kumekuwepo na ongezeko la matukio ya kisiasa yanayofanyika kinyume cha taratibu zinazotakiwa hivyo kuisukuma Serikali kuchukua hatua ambazo baadae hudaiwa kuwa zimevunja haki za binadamu.
Hayo yamebainishwa kwenye viwanja vya...