Serikali ichukue hatua matatizo ya ardhi
Wiki iliyopita tulizungumzia mgogoro baina ya wakulima na wafugaji Kongwa mkoani Dodoma na Kiteto mkoani Manyara, ambako hali imekuwa mbaya kutokana na mauaji kuendelea bila ya Serikali kuonekana ikichukua hatua za dhati kutatua mgogoro huo wa muda mrefu sasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Lipumba: Hali ya uchumi ni mbaya, Serikali ichukue hatua
10 years ago
Mwananchi23 Jan
‘TFF ichukue hatua kupinga ubaguzi’
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Cexwr4lo6uo/VMEcHzblfxI/AAAAAAAG_AU/4n9IOJRTEIY/s72-c/1625.jpg)
Nkamia alaani vikali maneno ya kibaguzi kwa wachezaji, aitaka TFF ichukue hatua
![](http://3.bp.blogspot.com/-Cexwr4lo6uo/VMEcHzblfxI/AAAAAAAG_AU/4n9IOJRTEIY/s1600/1625.jpg)
Akizungumza na Ripota wa Globu ya Jamii, Naibu Waziri wa Habari, Juma Nkamia amesema kuwa TFF isikae kimya kutokana na matamshi ya udhalilishaji juu ya Tambwe na kuiagiza TFF kuchukua hatua za kinidhamu haraka iwapo itathidibitika...
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Namna na hatua ya kubadili umiliki wa ardhi (2)
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Hatua ya kubadili umiliki wa hati ya ardhi kisheria
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Serikali itatue matatizo ya walimu
11 years ago
Habarileo28 Mar
Serikali kutatua matatizo ya marubani
SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inatatua matatizo yanayowakabili marubani wa kitanzania ikiwa ni pamoja na upendeleo wa ajira kwa marubani wa kigeni na uwazi katika mitihani ya marubani.
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Serikali kumaliza matatizo ya watumishi
SERIKALI imesema inayo dhamira ya dhati ya kumaliza kero ya madai na malimbikizo kwa watumishi wa umma. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani, amesema mpaka...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Twataka serikali itakayoondoa matatizo ya wananchi
ILI nieleweke, nitaanza makala yangu kwa mfano wa timu ya kandanda na benchi la ufundi likiongozwa na mwalimu ambaye pia huitwa kocha. Kazi ya kocha na benchi lake la ufundi...