Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nkamia alaani vikali maneno ya kibaguzi kwa wachezaji, aitaka TFF ichukue hatua

WIZARA ya Habari Utamaduni na Michezo imeliagiza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoa adhabu kwa timu ya Ruvu Shooting kutokana na kitendo cha ubaguzi kilichofanywa na wachezaji wa timu hiyo dhidi ya mshambuliaji wa Yanga kutoka nchini Rwanda, Hamis Tambwe.
Akizungumza na Ripota wa Globu ya Jamii, Naibu Waziri wa Habari, Juma Nkamia amesema kuwa TFF isikae kimya kutokana na matamshi ya udhalilishaji juu ya Tambwe na kuiagiza TFF kuchukua hatua za kinidhamu haraka iwapo itathidibitika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘TFF ichukue hatua kupinga ubaguzi’

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeagizwa kuchunguza na kuchukua hatua kwa timu ya Ruvu Shooting ya mkoani Pwani kutokana na madai ya kumtolea maneno ya kibaguzi mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe.

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE MAGIGE ALAANI VIKALI TUKIO LA BOMU ARUSHA

bom 1Mbunge viti maalum Mhe.Catherine Magige kupitia chama cha mapinduzi CCM akimjulia hali Deepak Gupta (25 aliyepoteza mguu wake ) mmoja wa majeruhi wa bomu lililolipuka jana usiku majira ya saa 4 usiku  katika mgahawa wa VAMA Traditional Indian Culture jijini A rusha na majeruhi hao  kukimbizwa katika hospital ya Selianbom 2Mhe. Mbunge Catherine Magige akimjulia hali mmoja wa majerui katika hospital ya Selian,kushoto ni Mkurugenzi wa tiba ambaye pia ni kaimu mgamga mkuu wa hospitali hiyo kulia...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ichukue hatua matatizo ya ardhi

Wiki iliyopita tulizungumzia mgogoro baina ya wakulima na wafugaji Kongwa mkoani Dodoma na Kiteto mkoani Manyara, ambako hali imekuwa mbaya kutokana na mauaji kuendelea bila ya Serikali kuonekana ikichukua hatua za dhati kutatua mgogoro huo wa muda mrefu sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Lipumba: Hali ya uchumi ni mbaya, Serikali ichukue hatua

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameitaka Serikali kutafuta ufumbuzi wa haraka wa matatizo ya kiuchumi, kwa kuwa hali ilivyo sasa ni mbaya.

 

10 years ago

Vijimambo

WALINZI WA AMANI WATANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI,

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC) Bw. Martin Kobler akiwafariji walinzi wa amani kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) wanaohudumu katika Misheni ya MONUSCO ( DRC) kufuatia shambulio lililotokea siku ya Jumanne huko Ben,i Magharibi ya Jimbo la Kivu. Katika shambulio hilo na ambalo limelaaniwa vikali na Katibu Mkuu, Ban Ki Moon, walinzi wawili wamepoteza maisha na wengine 13 wamejeruhiwa

Na Mwandishi...

 

10 years ago

Michuzi

WALINDA AMANI WAWILI WA TANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI

Mwakilishi Maalum wa  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya  Kongo ( DRC) Bw. Martin Kobler akiwafariji  walinzi wa amani  kutoka  Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) wanaohudumu katika Misheni ya MONUSCO ( DRC)  kufuatia shambulio  lililotokea siku ya  Jumanne huko Ben,i Magharibi ya Jimbo la Kivu. Katika shambulio hilo na ambalo limelaaniwa vikali na  Katibu Mkuu, Ban  Ki Moon, walinzi wawili wamepoteza maisha na wengine 13...

 

11 years ago

Michuzi

TFF INAWACHUKULIA HATUA GANI KWA WATU WA NAMNA HII.

 Pichani juu ni baadhi ya wadau wa Soka waliokutwa hivi karibuni wakijisaidia kwenye masinki ya kunawia mikono kama waonekanavyo pichani. Hapa baada ya kumaliza shughuli yao haoo wakaondoka,je wahusika wanalichukuliaje jambo hili lisilo la kiungwana kabisa ndani ya uwanja wa wetu wa mpira,ambao umejengwa kwa gharama kubwa,lakini kuna baadhi ya watu kama hawa wamekuwa wakiharibu maeneo na vifaa mbalimbali ya uwanja huo ikiwemo na kugeuza matumizi yake.
Ni mimi Mdau wa Soka la Bongo.

 

5 years ago

Michuzi

Uamuzi wa kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni TPL uangaliwe kwa mapana zaidi kabla ya hatua hiyo kuchukuliwa




Na Mdau wa Soka Arusha
Hatua hii itakuwa siyo ya kujenga bali ni kubomoa soka letu. Kiuhalisia kwa sasa ni timu 3 zenye uwezo wa kusajili wachezaji 10 wa kigeni; Simba, Yanga na Azam.
Usajili  kwa sasa unaruhusu kila timu ya TPL kusajili wachezaji mpaka 30 kwa msimu.Kwa mahesabu hayo jumla ya namba ya wachezaji wanaosajiliwa na timu 20 za ligi kuu ni 600(30 x20). 
Chukulia mfano timu 3 kubwa zimesajili wachezaji 10 wa kigeni kila moja ukijumlisha unapata wachezaji 30.
Chukulia pia mfano timu 17...

 

11 years ago

Mwananchi

Malinzi aitaka Simba kufuata kanuni TFF

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka Simba kufanya marekebisho ya katiba yao kwa kuzingatia katiba, kanuni na maelekezo ya Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Afrika (CAF) na TFF.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani