TFF INAWACHUKULIA HATUA GANI KWA WATU WA NAMNA HII.
![](http://3.bp.blogspot.com/-uDuclmITuZY/UvSdYK5Ud8I/AAAAAAAFLig/TTPHasJgDxA/s72-c/1010976_10151844503966682_1262465548_n.jpg)
Pichani juu ni baadhi ya wadau wa Soka waliokutwa hivi karibuni wakijisaidia kwenye masinki ya kunawia mikono kama waonekanavyo pichani.
Hapa baada ya kumaliza shughuli yao haoo wakaondoka,je wahusika wanalichukuliaje jambo hili lisilo la kiungwana kabisa ndani ya uwanja wa wetu wa mpira,ambao umejengwa kwa gharama kubwa,lakini kuna baadhi ya watu kama hawa wamekuwa wakiharibu maeneo na vifaa mbalimbali ya uwanja huo ikiwemo na kugeuza matumizi yake.
Ni mimi Mdau wa Soka la Bongo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CFDlbSxUzfw/VPjKepKPcEI/AAAAAAAHH-U/KfB8SBR_1YY/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KUTOTOA MATUNZO YA MTOTO NI KOSA LA JINAI, HII NI NAMNA YA KUCHUKUA HATUA
![](http://1.bp.blogspot.com/-CFDlbSxUzfw/VPjKepKPcEI/AAAAAAAHH-U/KfB8SBR_1YY/s1600/law_5.jpg)
Kumekuwa na shida sana hasa kwa upande wa wanaume kuwatelekeza watoto. Mara nyingi wanaume ndio hutelekeza watoto kuliko wanawake. Zipo baadhi ya kesi zimeripotiwa zikihusisha wanawake kuwatelekeza watoto lakini hizi si nyingi kama ilivyo kwa wanaume. Hii ni kwasababu uwezekano wa mwanaume kumkimbia mtoto ni mwepesi kuliko mwanamke kumkimbia mtoto/watoto. Jambo hili ni baya na limeshakemewa na sheria mbalimbali. Nataka...
5 years ago
BBCSwahili27 May
Virusi vya corona: Ni kwa namna gani unaweza kuvaa barakoa yako?
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qj_Oa3FW7og/U1dbhRvRqNI/AAAAAAAFccc/vNTMW3OJp_Y/s72-c/New+Picture+(8).bmp)
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Hatua ya Makundi UEFA yakamilika, hii ndiyo listi ya timu zilizofuzu hatua ya 16 bora
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA imekamilika usiku wa jumatano kwa kupatikana timu nyingine 8 ambazo zitaungana na timu 8 zilizofuzu jumanne kuingia katika hatua ya 16 bora.
Timu ambazo zimefuzu kuingia hatua ya 16 bora ni;
GROUP A;
Real Madrid
Paris Saint-German
GROUP B;
Wolfsburg
PSV Eindhoven
GROUP C;
Atletico Madrid
Benfica
GROUP D;
Manchester City
Juventus
GROUP E;
Barcelona
Roma
GROUP F;
Bayern Munich
Arsenal
GROUP G;
Chelsea
Dynamo Kyiv
GROUP H;
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Cexwr4lo6uo/VMEcHzblfxI/AAAAAAAG_AU/4n9IOJRTEIY/s72-c/1625.jpg)
Nkamia alaani vikali maneno ya kibaguzi kwa wachezaji, aitaka TFF ichukue hatua
![](http://3.bp.blogspot.com/-Cexwr4lo6uo/VMEcHzblfxI/AAAAAAAG_AU/4n9IOJRTEIY/s1600/1625.jpg)
Akizungumza na Ripota wa Globu ya Jamii, Naibu Waziri wa Habari, Juma Nkamia amesema kuwa TFF isikae kimya kutokana na matamshi ya udhalilishaji juu ya Tambwe na kuiagiza TFF kuchukua hatua za kinidhamu haraka iwapo itathidibitika...
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Tunamuunga mkono JK kwa hatua hii
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Namna na hatua ya kubadili umiliki wa ardhi (2)
10 years ago
Mwananchi26 Sep
AFYA YA UZAZI: Namna ya Kuchunguza hatua za kujifungua
5 years ago
BBCSwahili18 Mar
Coronavirus: Je ni hatua gani zimechukuliwa na EU kuzuia maambukizi?