Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFYA YA UZAZI: Namna ya Kuchunguza hatua za kujifungua

>Moja ya malengo ya milenia ni kupunguza kama si kuondoa kabisa vifo vya kinamama na watoto vitokanavyo na ujauzito, wakati wa kujifungua na wakati wa kulea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Namna na hatua ya kubadili umiliki wa ardhi (2)

Makala hii ni mwendelezo wa ile iliyopita. Ndugu msomaji na mpenzi wa makala hii, ukweli ni kwamba ni lazima uwe makini katika suala zima la umiliki wa ardhi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Namna Corona ilivyolazimisha nchi kutangaza 'hatua ngumu'

Serikali za Uingereza, Senegal, Maurituius na Afrika Kusini zimelazimika kuchukua uamuzi mgumu ndani ya saa 24 zilizopita.

 

11 years ago

Michuzi

TFF INAWACHUKULIA HATUA GANI KWA WATU WA NAMNA HII.

 Pichani juu ni baadhi ya wadau wa Soka waliokutwa hivi karibuni wakijisaidia kwenye masinki ya kunawia mikono kama waonekanavyo pichani. Hapa baada ya kumaliza shughuli yao haoo wakaondoka,je wahusika wanalichukuliaje jambo hili lisilo la kiungwana kabisa ndani ya uwanja wa wetu wa mpira,ambao umejengwa kwa gharama kubwa,lakini kuna baadhi ya watu kama hawa wamekuwa wakiharibu maeneo na vifaa mbalimbali ya uwanja huo ikiwemo na kugeuza matumizi yake.
Ni mimi Mdau wa Soka la Bongo.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KUTOTOA MATUNZO YA MTOTO NI KOSA LA JINAI, HII NI NAMNA YA KUCHUKUA HATUA

Na  Bashir  Yakub.
Kumekuwa  na  shida  sana  hasa  kwa  upande  wa  wanaume  kuwatelekeza  watoto. Mara  nyingi  wanaume  ndio   hutelekeza  watoto  kuliko  wanawake. Zipo  baadhi  ya  kesi  zimeripotiwa  zikihusisha  wanawake  kuwatelekeza  watoto   lakini hizi  si  nyingi  kama  ilivyo  kwa  wanaume. Hii  ni kwasababu  uwezekano  wa  mwanaume  kumkimbia  mtoto  ni  mwepesi  kuliko mwanamke  kumkimbia  mtoto/watoto.  Jambo  hili  ni  baya  na  limeshakemewa  na  sheria  mbalimbali.  Nataka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

KCB yachangia kampeni afya ya uzazi

BENKI ya Biashara ya Kenya (KCB), imechangia sh milioni 48 ili kusomesha wakunga 10 kwa ajili ya kuokoa afya ya mama na mtoto. Uchangiaji huo unakwenda sambamba na mikakati ya...

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA UZAZI: Tatizo la kutopata ujauzito

>Mtu anaposema tatizo la kutopata ujauzito, ana maana mume na mke walio katika uhusiano wa kutafuta mtoto ndani ya mwaka mmoja, lakini wameshindwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCBRT, Canada kuboresha afya ya uzazi

HOSPITALI ya CCBRT na Serikali ya Canada kupitia Idara ya Mambo ya Nje, Biashara na Maendeleo ya Canada (DFATD), wameingia makubaliano ya dola milioni 10.2 za Canada kwa ajili ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pakistan:elimu afya ya uzazi ni ngumu

Ngono ni neno linaloonekana kuwa haramu nchini Pakistan, neno hilo huhusishwa na dhambi,mtu huonekana mkosefu na kwa wengi ni tendo la aibu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani