Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Namna na hatua ya kubadili umiliki wa ardhi (2)

Makala hii ni mwendelezo wa ile iliyopita. Ndugu msomaji na mpenzi wa makala hii, ukweli ni kwamba ni lazima uwe makini katika suala zima la umiliki wa ardhi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hatua ya kubadili umiliki wa hati ya ardhi kisheria

Makala hii ni mwendelezo wa makala iliyopita. Umechukua hatua za msingi wakati wa kununua ardhi na umejiridhisha kuwa sasa hiyo ardhi ni mali yako kwa mujibu wa mkataba uliojaza na kusainiwa mbele ya mwanasheria?

 

5 years ago

BBCSwahili

Sheria ya umiliki ardhi invyomsaidia mwanamke kupata haki ya umiliki

Serikali inafanya nini kuhakikisha sheria ya umiliki wa ardhi inawafaidisha wanawake.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wizara ya ardhi wafurahia utendaji wa Nchi ya Singapore namna ya utawala bora katika ardhi

Ujumbe wa Waziri wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi umemaliza ziara yake nchini Singapore huku ukiwa umejifunza mambo muhimu ikiwemo kuwepo utawala wa sheria katika usimamizi wa ardhi, kutokuwepo rushwa, nidhamu na uaminifu mkubwa wa watumishi wa umma, jamii inayopenda kujitegemea na usalama wa hali ya juu. Yafuatayo ni matukio ya ziara hiyo kwenye Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Singapore(URA) kama yalivyoratibiwa na Muungano Saguya.

NHC1

Ujumbe wa NHC...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali isimamie sheria umiliki wa ardhi’

SERIKALI imetakiwa kusimamia sheria, taratibu na kanuni za umiliki wa ardhi ili kuondoa changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo uvunjifu wa amani na umwagikaji wa damu. Mkurungezi wa Taasisi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Ahimiza elimu ya umiliki wa ardhi kwa madiwani

Katibu Tawala wa Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma, Dorah Makinga amelitaka Jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF), kuwaelimisha madiwani matumizi bora ya ardhi ili wakawaelimisha wananchi katika ngazi za vijiji na vitongoji.

 

10 years ago

Michuzi

Mpango mkubwa hati za umiliki ardhi kimila mbioni

Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamSERIKALI  imesema inafanyia kazi mpango mkubwa wa kupima ardhi zinazomilikiwa kimila na kutoa hati kwa wahusika.
Mpango huu ambao uko mbioni kuanza kama majaribio ni moja ya maazimio ya mkutano wa 9 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) uliomalizika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Akitoa majumuisho ya mkutano huo kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya TNBC, Balozi Ombeni Sefue alisema kuharakishwa kwa mpango wa kutoa hati za umiliki wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MAMBO YA MSINGI KISHERIA KUHUSU UMILIKI WA ARDHI WA PAMOJA

Na  Bashir  Yakub.
Ardhi  inaweza  kumilikiwa  na  mtu  zaidi  ya  mmoja. Inaweza  kuwa  nyumba  au  kiwanja.  Vyote  hivi  vinaweza  kumilikiwa  na  mtu  zaidi  ya  mmoja. Kumiliki ardhi  kwa  zaidi  ya  mtu  mmoja  sio  lazima  iwe  kwa  wanandoa. Inaweza  kuwa  ndugu ,  marafiki ,  kikundi  cha  watu kama  wafanyabiashara, wana  saccos, kikundi  cha  michezo  na  aina  yoyote  ya  kikundi  cha  kimaendeleo.  Umiliki  wa  ardhi  kwa  pamoja  unatofauti  na  umiliki  binafsi  yaani umiliki...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAWAKE WA MKOA WA IRINGA WAPATIWA MAFUNZO JUU YA SHERIA YA UMILIKI WA ARDHI NA UONGOZI

Wanawake wa wilaya za Iringa, Mufindi na Kilolo mkoani Iringa wapatiwa mafunzo juu ya ushawishi na utetezi wa haki za wanawake na sheria ya umiliki wa ardhi ya mwaka 1999. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Shirika la Land O'Lakes chini ya ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID). Mratibu Msaidizi wa Programu wa Shirika la Land O’Lakes Tanzania, Mary Kafanabo alisema kuwa mafunzo hayo yametolewa kufuatia uelewa mdogo wa sheria za umiliki wa ardhi na sheria ya ardhi kwa ujumla.
Alisema...

 

10 years ago

Mwananchi

Ashauri kubadili mfumo ulipaji fidia ya ardhi

Serikali imetakiwa kubadilisha mfumo wa zamani wa ulipaji fidia kwa wananchi na kutumia mfumo wa kisasa, ili mwananchi aweze kufaidika na ardhi yake baada ya kupimwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani