Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpango mkubwa hati za umiliki ardhi kimila mbioni

Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamSERIKALI  imesema inafanyia kazi mpango mkubwa wa kupima ardhi zinazomilikiwa kimila na kutoa hati kwa wahusika.
Mpango huu ambao uko mbioni kuanza kama majaribio ni moja ya maazimio ya mkutano wa 9 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) uliomalizika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Akitoa majumuisho ya mkutano huo kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya TNBC, Balozi Ombeni Sefue alisema kuharakishwa kwa mpango wa kutoa hati za umiliki wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hatua ya kubadili umiliki wa hati ya ardhi kisheria

Makala hii ni mwendelezo wa makala iliyopita. Umechukua hatua za msingi wakati wa kununua ardhi na umejiridhisha kuwa sasa hiyo ardhi ni mali yako kwa mujibu wa mkataba uliojaza na kusainiwa mbele ya mwanasheria?

 

5 years ago

BBCSwahili

Sheria ya umiliki ardhi invyomsaidia mwanamke kupata haki ya umiliki

Serikali inafanya nini kuhakikisha sheria ya umiliki wa ardhi inawafaidisha wanawake.

 

9 years ago

Michuzi

HATIMAYE VIJIJI VINNE WILAYANI HANANG’ VIMEPOKEA HATI ZA HAKIMILIKI ZA KIMILA ZA ARDHI‏‎

  Mzee wa heshima akielezea historia ya umiliki wa ardhi miaka ya nyuma ukilinganisha na sasa. Makko Sinandei Mratibu wa Miradi wa shirika la UCRT alisema wamekutana na changamoto za migogoro ya mipaka katika vijiji ambayo inazuia kushindwa kupima mipaka katika vijiji husika. Baadhi ya akina mama wa Kijiji hicho wakifuatilia tukio.

Na mwandishi wetuWenyekiti wa vijiji vinne vya wilaya ya Hanang’ wamepokea hati za hakimiliki za kimila za ardhi ya vijiji vyao baada ya kuwa vimepimwa na wao...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI ATAKA MAAFISA ARDHI KUWAFUATILIA WAMILIKI WASIOTAKA KUCHUKUA HATI ZA ARDHI

  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akitoa maelekezo mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Mary Makondo (wa tatu kushoto), Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Dkt John Pima (Wa kwanza kushoto) pamoja na Msajili Msaidizi wa Hati katika ofisi ya Ardhi mkoa wa Arusha Juliana Ngonyani wakati akikagua masijala ya ardhi alipokwenda kuzindua ofisi hiyo jana. Baadhi ya Watendaji wa sekta ya ardhi mkoa wa Arusha na wananchi wakimsikiliza Waziri wa Ardhi Nyumba na...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI LUKUVI ATAKA MAAFISA ARDHI KUWAFUATILIA WAMILIKI WALIOTELEKEZA HATI ZAO ZA ARDHI AMBAZO ZIPO TAYARI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe kuzindua ofisi ya ardhi mkoa wa Arusha jana. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta, wa tatu kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo na Kulia ni Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa wa Arusha Leo Komba

Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Ardhi nchini kuhakikisha wanawafuatilia wamiliki wa ardhi ambao hati zao zimekamilika lakini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali isimamie sheria umiliki wa ardhi’

SERIKALI imetakiwa kusimamia sheria, taratibu na kanuni za umiliki wa ardhi ili kuondoa changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo uvunjifu wa amani na umwagikaji wa damu. Mkurungezi wa Taasisi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Namna na hatua ya kubadili umiliki wa ardhi (2)

Makala hii ni mwendelezo wa ile iliyopita. Ndugu msomaji na mpenzi wa makala hii, ukweli ni kwamba ni lazima uwe makini katika suala zima la umiliki wa ardhi.

 

11 years ago

Michuzi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekabidhi rasmi hati ya umiliki wa matumizi ya Msikiti Muhammad (SAW) wa mwanakwerekwe

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekabidhi rasmi hati ya umiliki wa matumizi ya Msikiti Muhammad { SAW } uliopo nyuma ya Tawi la Benki ya Kiislamu ya Watu wa Zanzibar {PBZ } uliopo Mwanakwerekwe kwa waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mtaa huo ili waendelee kuutumia katika Ibada zao mbali mbali za kila siku.  Msikiti huo ulikuwa umefungwa kutumika kwa suala lolote la ibada kwa karibu miaka 14 sasa tokea miaka ya 2000 baada ya kutokea hitilafu ya umiliki wa msikiti huo baina ya waumini...

 

10 years ago

Mwananchi

Ahimiza elimu ya umiliki wa ardhi kwa madiwani

Katibu Tawala wa Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma, Dorah Makinga amelitaka Jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF), kuwaelimisha madiwani matumizi bora ya ardhi ili wakawaelimisha wananchi katika ngazi za vijiji na vitongoji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani