Uamuzi wa kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni TPL uangaliwe kwa mapana zaidi kabla ya hatua hiyo kuchukuliwa
![](https://1.bp.blogspot.com/-et2uJEgzmVU/XkzN_lBg7kI/AAAAAAALeNM/3sXsBrWAa68604nCRB038A5ZvXieU-0hQCLcBGAsYHQ/s72-c/737637be12c25dbefdbd7da9f3ff81ec.jpg)
Na Mdau wa Soka Arusha
Hatua hii itakuwa siyo ya kujenga bali ni kubomoa soka letu. Kiuhalisia kwa sasa ni timu 3 zenye uwezo wa kusajili wachezaji 10 wa kigeni; Simba, Yanga na Azam.
Usajili kwa sasa unaruhusu kila timu ya TPL kusajili wachezaji mpaka 30 kwa msimu.Kwa mahesabu hayo jumla ya namba ya wachezaji wanaosajiliwa na timu 20 za ligi kuu ni 600(30 x20).
Chukulia mfano timu 3 kubwa zimesajili wachezaji 10 wa kigeni kila moja ukijumlisha unapata wachezaji 30.
Chukulia pia mfano timu 17...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV31 Dec
Hatua zaidi zatakiwa kuchukuliwa wahusika wa ESCROW.
Na Blaya Moses,
Dodoma.
Wakati baadhi ya wananchi na taasisi mbalimbali nchini zikiendelea kushinikiza uwajibishwaji wa baadhi ya viongozi waliohusika na wizi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, umoja wa shirikisho la chuo kikuu cha Dodoma umeshauri hatua zaidi zichukuliwe dhidi ya wahusika wote kwani kuvuliwa nyadhifa zao pekee haitoshi.
Aidha shirikisho hilo limempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuanza kuwawajibisha baadhi yao likimshauri kuendelea pia kuwashughulikia wale wote...
9 years ago
StarTV03 Jan
Uchafuzi Wa Mazingira Mwanza Hatua kali kuchukuliwa kwa wahusika
Kamati ya usafi wa mazingira ya Pasiansi Mashariki imeitaka halmashauri ya jiji la Mwanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wale wote wanaohusika kuchafua mazingira na kuhatarisha maisha ya watu.
Ni kutokana na kuwepo kwa baadhi ya watu ambao wanadaiwa kutiririsha maji taka na vinyesi katika mitaro inayotiririshamaji kuelekea katika Ziwa Viktoria.
Haya yanajiri katika ziara ya kushtukiza iliyofanywa na diwani wa kata ya Kawekamo wilayani Ilemela jijini Mwanza Japhesi Joel pamoja na kamati...
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Ubadhirifu wa fedha na rasilimali wapungua vijijini kwa viongozi kuhofia kuchukuliwa hatua na wakazi wa maeneo hayo
Waraghbishi toka vijiji vya Iponya, Nyakasumula, Bukandwe na Shenda wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti na mtendaji wa kijiji cha Shenda.
Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.
Ni katika mazungumzo...
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Magaidi kuchukuliwa hatua Ufaransa
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Wanamgambo kuchukuliwa hatua Libya
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Hw114l5o4GM/Xl4pvrDWeLI/AAAAAAACz8o/sO63b4J-NwcPHDx0hzYaJnTp5vjgwZjdQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KUCHUKULIWA HATUA KALI WALIOFUJA MALI ZA MKONGE
![](https://1.bp.blogspot.com/-Hw114l5o4GM/Xl4pvrDWeLI/AAAAAAACz8o/sO63b4J-NwcPHDx0hzYaJnTp5vjgwZjdQCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uchunguzi katika mashamba yote ya mkonge ili kubaini yameendelezwa kwa kiasi gani na sehemu ambazo hazijaendelezwa zitachukuliwa na kugawiwa kwa wananchi ili walime mkonge.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kata za...
5 years ago
MichuziWALIOFUJA MALI ZA MKONGE KUCHUKULIWA HATUA-MAJALIWA
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uchunguzi katika mashamba yote ya mkonge ili kubaini yameendelezwa kwa kiasi gani na sehemu ambazo hazijaendelezwa zitachukuliwa na kugawiwa kwa wananchi ili walime mkonge.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo(Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kata za Segera...
5 years ago
CCM BlogIDADI YA WAGONJWA WA CORONA YAZIDI KUPUNGUA NCHINI, YASISITIZWA TAHADHARI IENDELEE KUCHUKULIWA
DODOMA, Tanzania
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema idadi ya wagonjwa wa Corona imeendelea kupungua huku baadhi ya vituo vikiwa havina wagonjwa na kwamba kwa mujibu wa takwimu za leo asubuhi Dar es Salaam kuna wagonjwa 11, Kibaha 16 na Dodoma kituo cha Mkonze wagonjwa ni watatu.
Akizungumza mara baada ya sala ya Idd El Fitr katika...
9 years ago
StarTV24 Nov
Kufutwa Uchaguzi Zanzibar Waliohusika watakiwa kuchukuliwa hatua
Shirikisho la vyuo vikuu Zanzibar limeomba kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya mtu yeyote aliyehusika na kusababisha kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar bila kujali cheo ama wadhifa wake.
Akisoma taarifa ya wasomi hao wanaounga mkono ccm mbele ya wanahabari visiwani Zanzibar Makamu mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vya elimu ya juu wanaunga mkono CCM Zanzibar Hamid Saleh Muhina anasema maeneo mengi ya hujuma katika uchaguzi huo yamebainika ila tuma na baadhi ya makamishna kukaa kimya...