Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magaidi kuchukuliwa hatua Ufaransa

Waendesha mashtaka nchini Ufaransa watakiwa kuchukua hatua dhidi ya Magaidi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Magaidi walijifanya wahamiaji:Ufaransa

Waziri mkuu wa Ufaransa,Manuel Valls, amesema kwamba waliotekeleza shambulio walijifanya Wahamiaji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanamgambo kuchukuliwa hatua Libya

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotoa wito wa kusitisha mapigano nchini Libya.

 

5 years ago

Michuzi

WALIOFUJA MALI ZA MKONGE KUCHUKULIWA HATUA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawachukulia hatua watu wote waliohusika na ubadhilifu wa mali zikiwemo nyumba za Mamlaka ya Mkonge Tanzania.
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uchunguzi katika  mashamba yote ya mkonge ili kubaini yameendelezwa kwa kiasi gani na sehemu ambazo hazijaendelezwa zitachukuliwa na kugawiwa kwa wananchi ili walime  mkonge.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo(Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kata za Segera...

 

10 years ago

StarTV

Hatua zaidi zatakiwa kuchukuliwa wahusika wa ESCROW.

Na Blaya Moses,

Dodoma.

 

Wakati baadhi ya wananchi na taasisi mbalimbali nchini zikiendelea kushinikiza uwajibishwaji wa baadhi ya viongozi waliohusika na wizi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, umoja wa shirikisho la chuo kikuu cha Dodoma umeshauri hatua zaidi zichukuliwe dhidi ya wahusika wote kwani kuvuliwa nyadhifa zao pekee haitoshi.

Aidha shirikisho hilo limempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuanza kuwawajibisha baadhi yao likimshauri kuendelea pia kuwashughulikia wale wote...

 

5 years ago

CCM Blog

KUCHUKULIWA HATUA KALI WALIOFUJA MALI ZA MKONGE

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawachukulia hatua watu wote waliohusika na ubadhilifu wa mali zikiwemo nyumba za Mamlaka ya Mkonge Tanzania.
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uchunguzi katika  mashamba yote ya mkonge ili kubaini yameendelezwa kwa kiasi gani na sehemu ambazo hazijaendelezwa zitachukuliwa na kugawiwa kwa wananchi ili walime  mkonge.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kata za...

 

9 years ago

Mwananchi

Mashambulizi ya magaidi yatikisa Ufaransa, yaua watu 127

Rais John Magufuli amemtumia salamu za pole Rais wa Ufaransa François Hollande, kutokana na mashambulizi ya kigaidi yaliyogharimu vifo vya watu 127.

 

9 years ago

StarTV

Kufutwa Uchaguzi Zanzibar Waliohusika watakiwa kuchukuliwa hatua

Shirikisho la vyuo vikuu Zanzibar limeomba kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya mtu yeyote aliyehusika na kusababisha kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar bila kujali cheo ama wadhifa wake.

Akisoma taarifa ya wasomi hao wanaounga mkono ccm mbele ya wanahabari visiwani Zanzibar Makamu mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vya elimu ya juu wanaunga mkono CCM Zanzibar Hamid Saleh Muhina anasema maeneo mengi ya hujuma katika uchaguzi huo yamebainika ila tuma na baadhi ya makamishna kukaa kimya...

 

5 years ago

Michuzi

DC KIGOMA WASIOVAA BARAKOA KUKAMATWA NA KUCHUKULIWA HATUA KALI

Na Editha Karlo,Kigoma.
MKUU wa wilaya Kigoma Samson Anga ametangaza kuwa watu wote ambao watakutwa hawajavaa barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona watakamatwa na kuchukuliwa hatua.

Anga alisema hayo wakati akieleza tathmini ya agizo la Mkuu wa mkoa Kigoma, Emanuel Maganga  alilolitoa Meo Mosi mwaka huu kutaka watu wote mkoani humo kuanza kuvaa barakoa kuanzia Mei 2 mwaka huu wanapokuwa nje ya makazi yao na kwenye...

 

9 years ago

StarTV

Uchafuzi Wa Mazingira Mwanza Hatua kali kuchukuliwa kwa wahusika

Kamati ya usafi wa mazingira ya Pasiansi Mashariki imeitaka halmashauri ya jiji la Mwanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wale wote wanaohusika kuchafua mazingira na kuhatarisha maisha ya watu.

Ni kutokana na kuwepo kwa baadhi ya watu ambao wanadaiwa kutiririsha maji taka na vinyesi katika mitaro inayotiririshamaji kuelekea katika Ziwa Viktoria.

Haya yanajiri katika ziara ya kushtukiza iliyofanywa na diwani wa kata ya Kawekamo wilayani Ilemela jijini Mwanza Japhesi Joel pamoja na kamati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani