DC KIGOMA WASIOVAA BARAKOA KUKAMATWA NA KUCHUKULIWA HATUA KALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-3sYZLvHv6wc/Xq6_25hj0yI/AAAAAAALo8Y/h6jH_osJgssRp6BOklXFFxk0Bm_wfpxygCLcBGAsYHQ/s72-c/53189889_303.jpg)
Na Editha Karlo,Kigoma.
MKUU wa wilaya Kigoma Samson Anga ametangaza kuwa watu wote ambao watakutwa hawajavaa barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona watakamatwa na kuchukuliwa hatua.
Anga alisema hayo wakati akieleza tathmini ya agizo la Mkuu wa mkoa Kigoma, Emanuel Maganga alilolitoa Meo Mosi mwaka huu kutaka watu wote mkoani humo kuanza kuvaa barakoa kuanzia Mei 2 mwaka huu wanapokuwa nje ya makazi yao na kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Hw114l5o4GM/Xl4pvrDWeLI/AAAAAAACz8o/sO63b4J-NwcPHDx0hzYaJnTp5vjgwZjdQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KUCHUKULIWA HATUA KALI WALIOFUJA MALI ZA MKONGE
![](https://1.bp.blogspot.com/-Hw114l5o4GM/Xl4pvrDWeLI/AAAAAAACz8o/sO63b4J-NwcPHDx0hzYaJnTp5vjgwZjdQCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uchunguzi katika mashamba yote ya mkonge ili kubaini yameendelezwa kwa kiasi gani na sehemu ambazo hazijaendelezwa zitachukuliwa na kugawiwa kwa wananchi ili walime mkonge.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kata za...
9 years ago
StarTV03 Jan
Uchafuzi Wa Mazingira Mwanza Hatua kali kuchukuliwa kwa wahusika
Kamati ya usafi wa mazingira ya Pasiansi Mashariki imeitaka halmashauri ya jiji la Mwanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wale wote wanaohusika kuchafua mazingira na kuhatarisha maisha ya watu.
Ni kutokana na kuwepo kwa baadhi ya watu ambao wanadaiwa kutiririsha maji taka na vinyesi katika mitaro inayotiririshamaji kuelekea katika Ziwa Viktoria.
Haya yanajiri katika ziara ya kushtukiza iliyofanywa na diwani wa kata ya Kawekamo wilayani Ilemela jijini Mwanza Japhesi Joel pamoja na kamati...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eTZeqAYukFs/XqLjTVjFfwI/AAAAAAALoEM/HSpsyB6EdV0OkKB-1qY6YQZw09ZORhKqwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200424-WA0006.jpg)
RC NDIKILO APOKEA MSAADA WA TENKI 25 NA KUONYA ABIRIA WASIOVAA BARAKOA
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo amepokea vifaa vya Kunawia Mikono ,tenki 25 za maji kutoka Kampuni ya Motisun Group vyenye thamani ya Sh.6.2 ikiwa ni jitihada za Mkoa kushirikiana na Wadau katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Ndikilo ametumia pia,wasaa huo kuwakumbusha na kuwaonya baadhi ya abiria wanaokaidi agizo la kuvaa barakoa ambalo wataalamu wa afya wamekuwa wakielekeza ili kupunguza maaambukizi ya virusi vya ugonjwa...
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Magaidi kuchukuliwa hatua Ufaransa
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Wanamgambo kuchukuliwa hatua Libya
5 years ago
MichuziWALIOFUJA MALI ZA MKONGE KUCHUKULIWA HATUA-MAJALIWA
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uchunguzi katika mashamba yote ya mkonge ili kubaini yameendelezwa kwa kiasi gani na sehemu ambazo hazijaendelezwa zitachukuliwa na kugawiwa kwa wananchi ili walime mkonge.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo(Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kata za Segera...
10 years ago
StarTV31 Dec
Hatua zaidi zatakiwa kuchukuliwa wahusika wa ESCROW.
Na Blaya Moses,
Dodoma.
Wakati baadhi ya wananchi na taasisi mbalimbali nchini zikiendelea kushinikiza uwajibishwaji wa baadhi ya viongozi waliohusika na wizi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, umoja wa shirikisho la chuo kikuu cha Dodoma umeshauri hatua zaidi zichukuliwe dhidi ya wahusika wote kwani kuvuliwa nyadhifa zao pekee haitoshi.
Aidha shirikisho hilo limempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuanza kuwawajibisha baadhi yao likimshauri kuendelea pia kuwashughulikia wale wote...
9 years ago
StarTV24 Nov
Kufutwa Uchaguzi Zanzibar Waliohusika watakiwa kuchukuliwa hatua
Shirikisho la vyuo vikuu Zanzibar limeomba kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya mtu yeyote aliyehusika na kusababisha kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar bila kujali cheo ama wadhifa wake.
Akisoma taarifa ya wasomi hao wanaounga mkono ccm mbele ya wanahabari visiwani Zanzibar Makamu mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vya elimu ya juu wanaunga mkono CCM Zanzibar Hamid Saleh Muhina anasema maeneo mengi ya hujuma katika uchaguzi huo yamebainika ila tuma na baadhi ya makamishna kukaa kimya...
9 years ago
MichuziUCHUNGUZI WA SAKATA LA WATUHUMIWA WA WIZI WA MAKONTENA 329 KUCHUKULIWA HATUA
Na Nyakongo...