Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘TFF ichukue hatua kupinga ubaguzi’

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeagizwa kuchunguza na kuchukua hatua kwa timu ya Ruvu Shooting ya mkoani Pwani kutokana na madai ya kumtolea maneno ya kibaguzi mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Nkamia alaani vikali maneno ya kibaguzi kwa wachezaji, aitaka TFF ichukue hatua

WIZARA ya Habari Utamaduni na Michezo imeliagiza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoa adhabu kwa timu ya Ruvu Shooting kutokana na kitendo cha ubaguzi kilichofanywa na wachezaji wa timu hiyo dhidi ya mshambuliaji wa Yanga kutoka nchini Rwanda, Hamis Tambwe.
Akizungumza na Ripota wa Globu ya Jamii, Naibu Waziri wa Habari, Juma Nkamia amesema kuwa TFF isikae kimya kutokana na matamshi ya udhalilishaji juu ya Tambwe na kuiagiza TFF kuchukua hatua za kinidhamu haraka iwapo itathidibitika...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ichukue hatua matatizo ya ardhi

Wiki iliyopita tulizungumzia mgogoro baina ya wakulima na wafugaji Kongwa mkoani Dodoma na Kiteto mkoani Manyara, ambako hali imekuwa mbaya kutokana na mauaji kuendelea bila ya Serikali kuonekana ikichukua hatua za dhati kutatua mgogoro huo wa muda mrefu sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Lipumba: Hali ya uchumi ni mbaya, Serikali ichukue hatua

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameitaka Serikali kutafuta ufumbuzi wa haraka wa matatizo ya kiuchumi, kwa kuwa hali ilivyo sasa ni mbaya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamana kupinga ubaguzi Afrika Kusini

Maelfu ya raia wa Afrika Kusini wanaandamana kupinga wimbi la visa vya hivi majuzi vya mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mahabusu wavua nguo kupinga ubaguzi

Mahabusu mkoani Arusha, Tanzania walivua nguo wakipinga watuhumiwa wawili wa dawa za kulevya kuachiwa huru

 

10 years ago

GPL

AFRIKA KUSINI WAFANYA MAANDAMANO KUPINGA GHASIA ZA UBAGUZI

Waandamanaji wakipinga ghasia za kibaguzi dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini. Raia aliyejeruhiwa kutokana na ghasia dhidi ya raia wa kiwageni Afrika Kusini. Maelfu ya raia katika Mji wa Mashariki wa Durban nchini Afrika Kusini wanafanya maandamano kupinga ghasia za hivi majuzi dhidi ya raia wa wageni. Takriban watu watano wameuawa tangu wiki iliopita katika ghasia dhidi ya raia wa wageni kwa kile kilichodaiwa kuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi yafanyika Marekani

Maandamano makubwa ya amani yamefanyika kote nchini Marekani kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji unaotekelezwa na maafisa wa polisi ikiwa ni siku ya 12 ya maandamano

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani