MBUNGE MAGIGE ALAANI VIKALI TUKIO LA BOMU ARUSHA
Mbunge viti maalum Mhe.Catherine Magige kupitia chama cha mapinduzi CCM akimjulia hali Deepak Gupta (25 aliyepoteza mguu wake ) mmoja wa majeruhi wa bomu lililolipuka jana usiku majira ya saa 4 usiku katika mgahawa wa VAMA Traditional Indian Culture jijini A rusha na majeruhi hao kukimbizwa katika hospital ya Selian
Mhe. Mbunge Catherine Magige akimjulia hali mmoja wa majerui katika hospital ya Selian,kushoto ni Mkurugenzi wa tiba ambaye pia ni kaimu mgamga mkuu wa hospitali hiyo kulia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/--a1yOgVq098/VUsdd4eBQtI/AAAAAAADmIo/ZxhsIjRyOKw/s72-c/05-06-2015Kobler_MONUSCO.jpg)
WALINZI WA AMANI WATANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI,
![](http://3.bp.blogspot.com/--a1yOgVq098/VUsdd4eBQtI/AAAAAAADmIo/ZxhsIjRyOKw/s640/05-06-2015Kobler_MONUSCO.jpg)
Na Mwandishi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Cexwr4lo6uo/VMEcHzblfxI/AAAAAAAG_AU/4n9IOJRTEIY/s72-c/1625.jpg)
Nkamia alaani vikali maneno ya kibaguzi kwa wachezaji, aitaka TFF ichukue hatua
![](http://3.bp.blogspot.com/-Cexwr4lo6uo/VMEcHzblfxI/AAAAAAAG_AU/4n9IOJRTEIY/s1600/1625.jpg)
Akizungumza na Ripota wa Globu ya Jamii, Naibu Waziri wa Habari, Juma Nkamia amesema kuwa TFF isikae kimya kutokana na matamshi ya udhalilishaji juu ya Tambwe na kuiagiza TFF kuchukua hatua za kinidhamu haraka iwapo itathidibitika...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DXMdvHWwiYs/VUqICZfdL9I/AAAAAAAHVzI/3yy5CgZs1pI/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
WALINDA AMANI WAWILI WA TANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI
![](http://2.bp.blogspot.com/-DXMdvHWwiYs/VUqICZfdL9I/AAAAAAAHVzI/3yy5CgZs1pI/s1600/unnamed%2B(59).jpg)
11 years ago
Michuzi09 Jul
MBUNGE MAGIGE AHIDI KUWAINUA AKINAMAMA KIUCHUMI KUPITIA CATHERINE FOUNDATION
![MA7](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/C0YIG2Jeaxt3n3P5YEz4wF3xZNpZA7q4loN90qG_JdU_tjPBiUMpCZu44KiUBSvQxJXdnxC-ajpI6D-00m59GWUPyh3JVBVkpMnE31oMq8vxmKpCiydVKjY=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/07/ma7.jpg?w=627&h=470)
![1.](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/JYlMScxCo7RGb2cwwvNfhEYBZyf52JM6sL43vtvp5dJLs--StxZqONw67oiZqQsrRTRR3N25uPvxKAXGlzWAB_jDciDVeod3_cZYdH2Gjp3s--epSfhV=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/07/1.jpg?w=627&h=470)
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Catherine Magige sasa kuwania ubunge viti maalum UWT mkoa wa Arusha
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha, anayemkabidhi ni katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea jana katika ofisi za umoja huo jijini Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akimkabidhi katibu wa (UWT) mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea...
11 years ago
Uhuru Newspaper09 Jul
Bomu latikisa Arusha
Lalipuka mgahawani, wanane wajeruhiwa Watuhumiwa wawili mbaroni, 25 wasakwa Kamati ya usalama ya mkoa yalaumiwa
WAANDISHI WETU, ARUSHA NA DAR
WATU wanane wakiwemo wanne wa familia moja wenye asili ya kiasia, wamelipukiwa na bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakila chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cusine uliopo mtaa wa Uzungunni mjini Arusha.
Tukio hilo ambalo ni la sita kutokea jijini Arusha, lilitokea juzi, saa 4.30 usiku, katika mgawaha huo uliopo jirani na...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Bomu jingine lajeruhi 17 Arusha
MATUKIO ya milipuko ya mabomu yameendelea kulitikisa Jiji la Arusha baada ya watu 17 waliokuwa wakiangalia mpira kwenye baa ya Arusha Night Park, iliyopo maeneo ya Mianzini kujeruhiwa vibaya na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcJeJ0-ikXd*m6muMqBiafZsRAL6Ngqy*KD2RWUsbM1-9n-GJQKIJZf2koBdgk8s6g06Iiei5Ijfu80NOt3MwcTn/IMG20140414WA00001.jpg?width=650)
BOMU LALIPUKA NA KUJERUHI ARUSHA
11 years ago
Habarileo09 Jul
Mgahawa wapigwa bomu Arusha
WATU wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine, jijini Arusha.