Twataka serikali itakayoondoa matatizo ya wananchi
ILI nieleweke, nitaanza makala yangu kwa mfano wa timu ya kandanda na benchi la ufundi likiongozwa na mwalimu ambaye pia huitwa kocha. Kazi ya kocha na benchi lake la ufundi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LBlPPWGd3-kBxycGVCAqdilsBlSEqBuDikaoO-i*pH89Khb-aNQE3L32Zd6*hdmzPAkbmCo5zGnkSy-14exQBwb/Shabbb.jpg?width=650)
SHABIBY: NAYAJUA VIZURI MATATIZO YA WANANCHI WANGU
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wananchi 1,000 wagundulika kuwa na matatizo ya macho
KITUO cha Afya cha MEDEWELL cha mjini Kibaha mkoani Pwani, kimeendesha kambi ya macho ya wiki moja ambapo zaidi ya wananchi 1,000 waliogundulika kuwa na matatizo ya macho wamepatiwa miwani bure.
10 years ago
MichuziMBUNGE WA KINONDONI AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKIANA KATIKA MATATIZO
Mh.Azzan aliyasema hayo jana wakati alipowatembelea wananchi wake waliopata mafuriko pamoja na wale ambao nyumba zao zimezingirwa na maji,amesema kuwa sasa ni wakati wa watu kusaidia wenzao waliopata na maafa.
Amesema kuwa ametoa mpira wa kutolea maji kutokana na kuepusha na magonjwa ya mlipuko yatakayotokana na maji yaliyojaa katika mitaa iwamo Kipindupindu na...
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Serikali kumaliza matatizo ya watumishi
SERIKALI imesema inayo dhamira ya dhati ya kumaliza kero ya madai na malimbikizo kwa watumishi wa umma. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani, amesema mpaka...
11 years ago
Habarileo28 Mar
Serikali kutatua matatizo ya marubani
SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inatatua matatizo yanayowakabili marubani wa kitanzania ikiwa ni pamoja na upendeleo wa ajira kwa marubani wa kigeni na uwazi katika mitihani ya marubani.
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Serikali itatue matatizo ya walimu
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Serikali ichukue hatua matatizo ya ardhi
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Tutengeneze Katiba inayolenga kutatua matatizo ya wananchi wetu kwa miaka 50 ijayo: Prof. Mwandosya
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Prof. Mark Mwandosya ameeleza kuwa mpaka ifikapo mwaka 2055 Tanzania itakuwa imeachana na umaskini katika nchi ya uchumi wa kwanza endapo kutakuwa na dhamira ya...
10 years ago
Habarileo18 Aug
Serikali itaondoa matatizo miradi ya NSSF - Pinda
SERIKALI i imesema itajipanga kuona namna ya kukabili changamoto zinazokwamisha miradi mikubwa, inayoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa lengo la kubadilisha sura ya Jiji la Dar es Salaam.