Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE WA KINONDONI AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKIANA KATIKA MATATIZO

MBUNGE wa Kinondoni,Idd Azzan amewataka wananchi kuwa na ushirikiano wakati wa matatizo ili kuwafariji wahanga waliopata majanga.
Mh.Azzan aliyasema hayo jana wakati alipowatembelea wananchi wake waliopata mafuriko pamoja na wale ambao nyumba zao zimezingirwa na maji,amesema kuwa sasa ni wakati wa watu kusaidia wenzao waliopata na maafa.
Amesema kuwa ametoa mpira wa kutolea maji kutokana na kuepusha na magonjwa ya mlipuko yatakayotokana na maji  yaliyojaa katika mitaa iwamo Kipindupindu na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Michuzi

MBUNGE NATSE AWATAKA WANANCHI WA KARATU KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA


SAM_2291Mbunge wa jimbo la Karatu mkoani Arusha mchungaji Israel Natse wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) ambaye pia Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini akihutubia wananchi wake katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa mazingira bora karatu mjini jana,amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu  la wapiga kura ambayo itawapa  fursa ya kuwachagua viongozi wanaowataka katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika ockoba mwaka huu. (Habari...

 

10 years ago

Michuzi

PHIDESIA MBUNGE VITI MAALUM AWATAKA WANANCHI WASIRUBUNIWE

SAM_4394Mbunge viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalima aliyeshinda katika kura za maoni za kutafuta wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kupitia jumuiya ya wazazi wa chama cha Mapinduzi ( CCM ).akizungumza katika mkutano wa chama cha mapinduzi jana mtaa wa kati (CCM MKOA)wakati wagombea 12 wa chama hicho walipofanya ziara ya kutembelea kila kata na kujinadi kwa wananchi pamoja na wanachama wa chama hicho ambapo aliwataka wananchi wasirubuniwe na kama walipewa rushwa na mgombea yeyote...

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge awataka wananchi kuacha siasa, wachape kazi

MBUNGE wa Manonga, Seif Gulamali, amewataka watumishi wa serikali katika jimbo hilo kutojihusisha na siasa na badala yake wawahudumie wananchi kutokana na maadili ya kazi zao.

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE NASSAR ATUMIA HELKOPTA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akisalimiana na rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR.Mbunge Nassar akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Jshua Nassar akizungumza na wananchi katika kata ya Shambarai Burka wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo kuhasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftarai la...

 

9 years ago

StarTV

Mbunge wa Bunda kutowavumilia watendaji wazembe katika utoaji wa huduma kwa wananchi

Mbunge wa jimbo la Bunda Boniphace Mwita amesema kuwa hatawavumilia watendaji wa serikali na viongozi wa ngazi mbalimbali jimboni humo ambao watashindwa kwenda na kasi ya rais Magufuli kwani hatakuwa tayari kufanyakazi na watu wazembe.

Mbunge huyo wa Bunda ameyasema hayo kwenye kikao elekezi alichokiandaa katika kata ya Nyamuswa kikishirikisha viongozi wa ngazi mbalimbali na watendaji wote wa serikali, ili kila mmoja atambuwe wajibu wake wa kutumikia wananchi.

Mbunge wa Bunda Boniphace...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE JOSHUA NASSAR AWAONGOZA WANANCHI KATIKA MAKABIDHIANO YA HEKARI 92 ZA SHAMBA LA MADIIRA ARUMERU

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akitia saini katika kitabu cha wageni katika ofisi ya kata ya Siela Sing'isi alipotembelea katika kijiji hicho cha Sing'isi.Mpima wa Halmashauri ya wilaya ya Meru ,Seveline Luambano akiwaonesha wananchi wa vijiji vya Sing'isi na Malala,mipaka pamoja na michoro ya ramani ya eneo la hekari 92 zilizotolewa kwa vijiji hivyo .zoezi hilo limeshuhudiwa na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar.Mbunge Nassari akiwaongoza wananchi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani