Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali itaondoa matatizo miradi ya NSSF - Pinda

SERIKALI i imesema itajipanga kuona namna ya kukabili changamoto zinazokwamisha miradi mikubwa, inayoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa lengo la kubadilisha sura ya Jiji la Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Serikali kutatua mchangamoto za barabara kuwezesha miradi ya NSSF kufanikiwa

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisisitiza jambo baada ya kupata maelezo juu ya maendeleo ya Mradi wa Daraja la Kigamboni kabla ya kufanya ziara ya siku moja ya kutembelea Miradi iliyofadhiliwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadani Dau (kushoto) akitoa maelezo juu ya miradi ujenzi wa kijiji cha kisasa kiitwayo 'Dege Eco Village modern city Housing scheme' yenye thamani ya matrilioni. Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YAWATEMBEZA WAHARIRI KUONA MIRADI MIKUBWA DAR ES SALAAM

 Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la kisasa la Kigamboni, kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi Karrim Mataka (kulia), akitoa maelezo ya mradi ujenzi wa daraja hilo kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, wanaotembelea mradi mbalimbali ya uwekezaji unaofanywa na NSSF. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Creasentius Magori. Wahariri wa Vyombo vya Habari, wakijaribu kupita kwenye njia ya dharura, kwa ajili ya kuangalia mradi mkubwa wa Ujenzi wa Daraja la...

 

10 years ago

Michuzi

Spika Makinda, Wenyeviti wa Bunge Watembelea Miradi ya NSSF Dar

Meneja Mradi wa NSSF, Mhandisi John Msemwa (mwenye kipaza sauti) akielezea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa zinazojengwa na shirika hilo Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge walipo tembelea mradi wa daraja la kisasa linalojengwa na NSSF kwa ubia na Serikali kuunganisha Jiji la Dar es Salaam na mji wa Kigamboni. Meneja Mradi wa NSSF, Mhandisi John Msemwa (mwenye kipaza sauti) akielezea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa zinazojengwa na shirika hilo Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge walipo tembelea mradi wa daraja la kisasa linalojengwa na NSSF kwa ubia na Serikali kuunganisha Jiji la Dar es Salaam na mji wa Kigamboni.
Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge wakitembelea mradi wa daraja la kisasa linalojengwa na NSSF kwa ubia na Serikali kuunganisha Jiji la Dar es Salaam na mji wa Kigamboni. Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii yafanya ziara katika Miradi mitatu ya NSSF jijini Dar

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Rajabu (aliesimama) akizungumza wakati wa kuwakaribisha Wabunge wa Kamati ya Huduma za Jamii,waliofanya ziara ya kutembelea na kuangalia maendeleo ya miradi mitatu inayofadhiliwa na NSSF ambayo ni Mradi wa Daraja la Kigamboni,Mradi wa nyumba wa Mtoni Kijichi na Mradi ujenzi wa kijiji cha kisasa kiitwayo 'Dege Eco Village',iliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.Katika ziara hiyo ya Wabunge chini ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkutano wa tano wa wadau wa NSSF

IMGL7668

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa tano wa wadau wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii wa  NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Juni 2, 2015. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Tibenda, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF ,Dr. Ramadhani Dau na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Abubakari Rajab. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).

IMGL7676

Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tano wa Mfuko wa hifadhi ya jamii, NSSF wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PIL,ALHAJ MWINYI ATEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA NSSF JIJINI DAR LEO

Rais Mstaafu wa awamu ya pili nchini Tanzania,Alhaj Ali Hassan Mwinyi ametembelea miradi mbalimbali ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambapo aliweza kutembelea na kuangalia maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni, daraja ambalo linategemea kukamilika mwezi wa saba mwaka 2015 na vilevile amepata nafasi ya kutembelea Ujenzi wa nyumba za shirika la NSSF ambao unaendelea katika eneo la Mtoni Kijichi Kigamboni na baadhi ya nyumba hizo zimeishauzwa. Pia Rais Mstaafu aliweza...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali itatue matatizo ya walimu

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametoa kauli ambayo bila shaka imewagusa wengi katika jamii.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kutatua matatizo ya marubani

SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inatatua matatizo yanayowakabili marubani wa kitanzania ikiwa ni pamoja na upendeleo wa ajira kwa marubani wa kigeni na uwazi katika mitihani ya marubani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali kumaliza matatizo ya watumishi

SERIKALI imesema inayo dhamira ya dhati ya kumaliza kero ya madai na malimbikizo kwa watumishi wa umma. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani, amesema mpaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani