Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii yafanya ziara katika Miradi mitatu ya NSSF jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-O_a0dRHjgAI/VE-_wohAvVI/AAAAAAAGt4I/P9Iew6zUSP8/s72-c/MMGM1036.jpg)
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Rajabu (aliesimama) akizungumza wakati wa kuwakaribisha Wabunge wa Kamati ya Huduma za Jamii,waliofanya ziara ya kutembelea na kuangalia maendeleo ya miradi mitatu inayofadhiliwa na NSSF ambayo ni Mradi wa Daraja la Kigamboni,Mradi wa nyumba wa Mtoni Kijichi na Mradi ujenzi wa kijiji cha kisasa kiitwayo 'Dege Eco Village',iliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.Katika ziara hiyo ya Wabunge chini ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qn1jmIpbtdU/VU2x22kX3iI/AAAAAAAHWVY/06fNnyVCSLw/s72-c/Untitled1.png)
KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII YAFANYA ZIARA HESLB
Akizungumza baada ya taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Bodi kuwasilishwa, Kaimu Mwenyekiti wa Kamati Mhe. Gregory Teu amesema kuwa yeye na wanakamati wenzake wamejifunza kwa kina kupitia ziara hiyo na kwamba bila...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_dBr7FLEX24/Xm-b3vTzW7I/AAAAAAALj7w/xpnjaSq43qcGgvA3XmYan43tDIq0Xk4RACLcBGAsYHQ/s72-c/0c82b8ba-5145-42a8-a440-3531bad6450a.jpg)
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.
Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...
10 years ago
MichuziKAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA DAR YAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-E__U5BbZ4ds/VN35HrgjTHI/AAAAAAADYDw/O8hns7XBiec/s72-c/20150212_104312.jpg)
Kamati ya Bunge ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi yafanya ziara ya kikazi Jijini Dubai
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-ofzHefzvsl4%2FVN35Ga40rSI%2FAAAAAAADYDk%2FH7mmydBfuM8%2Fs1600%2F20150212_104038.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](http://1.bp.blogspot.com/-E__U5BbZ4ds/VN35HrgjTHI/AAAAAAADYDw/O8hns7XBiec/s1600/20150212_104312.jpg)
Aidha, Mhe. William Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliongozana na Kamati. Ziara hii fupi imekuwa ya mafanikio makubwa, kwani kamati pamoja wajumbe wengine wamekubaliana masuala muhimu ambayo wameona yanafaa kuishairi Serikali...
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
VETA yaendesha semina kwa wabunge wa kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma za jamii juu ya mradi wa kuongeza sifa za kuajiriwa — EEVT jijini Dar
Mh Jenista Mhagama (Kushoto) akiongea na baadhi ya wabunge kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii na baadhi ya wafanyakazi wa VETA kutoka Makao Makuu na VETA Kanda ya Kusini wakati wa semina iliyoandaliwa na VETA Kwaajili ya wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii juu ya mradi wa Kuongeza sifa za kuajiliwa – EEVT iliyofanyika katika Ukumbi wa Benki wa Kuu ya Tanzania, Jijini Dar Es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh Magreth Sitta na Kulia ni...
11 years ago
MichuziVETA YAENDESHA SEMINA KWA WABUNGE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII JUU YA MRADI WA KUONGEZA SIFA ZA KUAJILIWA - EEVT LEO JIJINI DAR
10 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAFANYA ZIARA KATIKA MITAMBO YA KUFUA UMEME YA KINYEREZI 1
10 years ago
MichuziJOPO LA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI YAFANYA ZIARA KATIKA MIGODI YA BULYANHULU NA BUZWAGI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL8LHtRYCzzdfD-5TTaytROMQqpMx7x3*uu3Q51k087a4tWtdqqMkQDllc0Uej5BcJ0py7mDXiHajX*KJTfA2zPy/unnamed9.jpg?width=650)
KAMATI YA BUNGE KILIMO, MAJI NA MIFUGO YAFANYA ZIARA MKOANI MOROGORO