SHABIBY: NAYAJUA VIZURI MATATIZO YA WANANCHI WANGU
![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LBlPPWGd3-kBxycGVCAqdilsBlSEqBuDikaoO-i*pH89Khb-aNQE3L32Zd6*hdmzPAkbmCo5zGnkSy-14exQBwb/Shabbb.jpg?width=650)
Mheshimiwa Ahmed Mabhut Shabiby. Stori: Dustan Shekidele Gairo ni miongoni mwa wilaya mpya nchini Tanzania ambayo ilianzishwa rasmi mwaka 2012 katika eneo ambalo awali lilikuwa ni Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro. Gairo inapatikana Kaskazini Magharibi mwa mkoa huo. Wiki iliyopita, Uwazi lilichanja mbuga hadi katika jimbo hilo linaloongozwa na Mheshimiwa Ahmed Mabhut Shabiby kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*CDy9YhLF-LRpaUmemYogw3ip3dmGnT7nlHHq7sLyVf2PbqNoXcIvB-MFd5GlV394b27v2Tjl*2AC9ebU6wG80Q/shilole.jpg?width=650)
SHILOLE: MPENZI WANGU NDIYE ANAYENITIBU VIZURI
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Twataka serikali itakayoondoa matatizo ya wananchi
ILI nieleweke, nitaanza makala yangu kwa mfano wa timu ya kandanda na benchi la ufundi likiongozwa na mwalimu ambaye pia huitwa kocha. Kazi ya kocha na benchi lake la ufundi...
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wananchi 1,000 wagundulika kuwa na matatizo ya macho
KITUO cha Afya cha MEDEWELL cha mjini Kibaha mkoani Pwani, kimeendesha kambi ya macho ya wiki moja ambapo zaidi ya wananchi 1,000 waliogundulika kuwa na matatizo ya macho wamepatiwa miwani bure.
10 years ago
MichuziMBUNGE WA KINONDONI AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKIANA KATIKA MATATIZO
Mh.Azzan aliyasema hayo jana wakati alipowatembelea wananchi wake waliopata mafuriko pamoja na wale ambao nyumba zao zimezingirwa na maji,amesema kuwa sasa ni wakati wa watu kusaidia wenzao waliopata na maafa.
Amesema kuwa ametoa mpira wa kutolea maji kutokana na kuepusha na magonjwa ya mlipuko yatakayotokana na maji yaliyojaa katika mitaa iwamo Kipindupindu na...
9 years ago
Mwananchi12 Dec
Mawaziri simamieni vizuri fedha za wananchi
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Tutengeneze Katiba inayolenga kutatua matatizo ya wananchi wetu kwa miaka 50 ijayo: Prof. Mwandosya
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Prof. Mark Mwandosya ameeleza kuwa mpaka ifikapo mwaka 2055 Tanzania itakuwa imeachana na umaskini katika nchi ya uchumi wa kwanza endapo kutakuwa na dhamira ya...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Rais wangu Kikwete, Bunge la Katiba limewatumbukia nyongo wananchi
RAIS wangu, katika kutaka kuboresha ustawi wao wa hapa duniani wanadamu hujiundia mambo yao kwa nia njema kabisa! Wakati mwingine hayo hayo waliyojiundia wakiwa na nia njema, hugeuka kuwa majanga...
11 years ago
TheCitizen08 Mar
Shabiby: Pay us if we work
10 years ago
Vijimambo24 Dec
TIBAIJUKA: KWAKUWA RAIS AMETENGUA UTEUZI WANGU, SASA NIPO JIMBONI NATATUA KERO ZA WANANCHI
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/89/Anna_Tibaijuka_-_World_Economic_Forum_on_Africa_2010.jpg/220px-Anna_Tibaijuka_-_World_Economic_Forum_on_Africa_2010.jpg)