Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri simamieni vizuri fedha za wananchi

Ikiwa leo ni siku ya 37 tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, wananchi wameshuhudia mambo kadhaa aliyofanya ambayo yamewapa mwanga na kuamini kuwa matatizo yao mengi ya msingi yatapatiwa ufumbuzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

PROF NDALICHAKO AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA VIZURI FEDHA ZA MIRADI YA ELIMU


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ametoa rai kwa watendaji wa Taasisi zilizo chini ya wizara yake kusimamia vizuri fedha za  miradi ya Elimu inayotelekezwa katika maeneo yao ili  ikamilike kwa wakati na ubora.

Waziri Ndalichako ametoa rai hiyo Jijini Dar es Salaam wakati akizinduzia Jengo la Utawala la Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) lililokarabatiwa na kuongeza ukubwa ambapo amesema Serikali imekuwa ikitoa fedha nyingi za miradi lakini haikamiliki...

 

10 years ago

GPL

SHABIBY: NAYAJUA VIZURI MATATIZO YA WANANCHI WANGU

Mheshimiwa Ahmed Mabhut Shabiby. Stori: Dustan Shekidele
Gairo ni miongoni mwa wilaya mpya nchini Tanzania ambayo ilianzishwa rasmi mwaka 2012 katika eneo ambalo awali lilikuwa ni Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro. Gairo inapatikana Kaskazini Magharibi mwa mkoa huo. Wiki iliyopita, Uwazi lilichanja mbuga hadi katika jimbo hilo linaloongozwa na Mheshimiwa Ahmed Mabhut Shabiby kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mawaziri wa fedha EU kuijadili Ugiriki

Mawaziri wa fedha kutoka mataifa yanayotumia sarafu ya Yuro, wanajiandaa kuanza mkutano wa dharura, ili kujadili hatua itakayofuatia katika mazungumzo ya mzozo wa kifedha wa Ugiriki.

 

11 years ago

Mwananchi

Lissu awataja mawaziri, wabunge walioomba fedha

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amewataja kwa majina mawaziri na wabunge aliosema bungeni kuwa wamekuwa ombaomba katika mifuko ya hifadhi ya jamii.

 

10 years ago

Michuzi

MAWAZIRI WA FEDHA WA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA WAJADILI MAENDELEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali wa Dkt. Servacius Likwelile akiwa pamoja na Kamishina wa Fedha za Nje Bw. Ngosha Magonya wakati mara tu baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini Abidjan.
Akizungumza na vyombo vya habari mchana huu DKt.Likwelile ambaye ni amemuwakilisha Waziri wa Fedha na katika Mkutano wa Benki ya Dunia amesema kuwa,”Mkurungezi wa Kanda ametoa ripoti ya mwaka, ameelezea ni namna gani ukanda huu wa Afrika ulivyokuwa ukifanya kazi za...

 

10 years ago

Vijimambo

MAWAZIRI WA FEDHA WA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA WAJADILI MAENDELEO


Akizungumza na vyombo vya habari mchana huu DKt.Likwelile ambaye ni amemuwakilisha Waziri wa Fedha na katika Mkutano wa Benki ya Dunia amesema kuwa,”Mkurungezi wa Kanda ametoa ripoti ya mwaka, ameelezea ni namna gani ukanda huu wa Afrika ulivyokuwa ukifanya kazi za maendeleo, ameelezea ripoti hiyo kuwa inagusa nchi zote sita za Afrika. Nchi hizo ni pamoja na Rwanda, Tanzania,Uganda, Kenya, Ethiophia na Visiwa vya Shelisheli, Aidha nchi hizo zimefanya kazi vizuri. Alisisitiza...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA WATALAAM WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA WA NCHI WANACHAMA WA AU NA EAC, JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIO

Mwenyekiti wa Kamati ya Watalaam wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa AU na EAC Dkt. Hamisi Mwinyimvua ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha,Uchumi,Mipango na Ushirikiano wa Kikanda unaoendelea Mjini AddisAbaba –Ethiopia. Mwenyekiti wa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na kamisheni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wafichua uongo wa mawaziri

WANANCHI wa vijiji vya kuzunguka Hifadhi ya Mbuga ya Taifa ya Serengeti (SENAPA) wamefichua udanganyifu waliodai kufanyiwa na baadhi ya mawaziri wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri 16 wa fedha walioifikisha Tanzania ilipo sasa tangu uhuru

Wakati ikiwa imebaki miezi miwili kwa Serikali ya awamu ya tano ambayo ni mpya kuingia madarakani, macho na masikio ya Watanzania wengi yanasubiri kushuhudia mabadiliko makubwa katika nyanja mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani