Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CRDB Singida yasheherekea siku ya wanawake kwa kutoa misaada Hospital ya Mkoa

DSC04439

Meneja wa CRDB benki mkoa wa Singida, Edith Maganga (kushoto) akimkabidhi kaimu mganga mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Ernest Mgeta msaada wa vyandarua 70 na sabauni wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.Msaada huo umewanufaisha akina mama waliolazwa katika wodi za akina mama wajawazito na waliojifungua.CRDB pia ilikarabati taa katika wodi hizo tatu na kufanya usafi katika maeneo yanayozunguka wodi hizo.

Na Nathaniel Limu,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PPF YAMWAGA MISAADA TEMEKE HOSPITAL KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

 Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam, Erica Sendegeya (Kushoto) na Mama wa Mapacha, Lucy Raphael (Kulia), wakifurahi, huku Erica akiwa amewabeba watoto  wakati Wafanyakazi Wanawake wa Mfuko huo, walipotembelea hospitali ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Jumamosi Machi 8, 2014, ili kuwafariji na kuwapatia misada, baada ya wafanyakazi hao kushiriki matembezi ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani kwenye viwanja vya Mwembeyanga.  Meneja wa Mfuko...

 

11 years ago

GPL

TAASISI YA TWA YASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA KITUO CHA CHAWAWAKI MJI MWEMA KIGAMBONI

Mrembo wa Tanzania Happiness Watimanywa akikabidhi baiskeli kwa mwenyekiti wa Chawawaki Bi. Reberata Jovin kwenye sherehe zenye lengo la kusaidia kikundi hicho, ambazo zimeandaliwa na taasisi ya TWA. Mshauri nasaha na mtoa mafunzo wa CCBRT,Bi. Mgaya Mhamanda akiongea na kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa…

 

11 years ago

Michuzi

wanahabari lindi washerehekea siku ya uhuru wa habari kwa kupima afya na kutoa misaada hospitali

WANAHABARI mkoa wa Wa Lindi wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bw Abdulaziz Ahmeid wameadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani kwa kutoa msaada kwa jamiii baada ya kutoa msaada wa Vifaa mbalimbali katika wodi za wazazi na watoto katika Hospital ya Rufaa ya Sokoine Mkoani Lindi Wanahabari hapo pia walipimwa afya zao na  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani humo ili kila mmoja afanye kazi zake huku akijua Afya yake   Akiongea baada ya hafla hizo Bw. Abdulaziz Ahmeid alieleza...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2020 KWA KUHAMASISHA USAWA WA KIJINSIA KATIKA JAMII

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akifungua sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Benki ya CRDB imefanya hafla ya kusherehekea ‘Siku ya Wanawake Dunia’ ikilenga kuhamasisha usawa wa kijinsia katika jamii. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema Benki ya CRDB inachukulia kwa umuhimu suala la kumuwezesha mwanamke na ndiomana
Benki hiyo imetoa kipaumbele cha ajira kwa...

 

10 years ago

Michuzi

KIPINDI CHA MASKANI YA TIMES FM WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA MSAADA KATIKA HOSPITALI YA MWANAYAMALA, DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Times Radio Fm, Mr. Rehure Nyaulawa (kushoto) akimkabidhi msaada wa mashuka Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk, Sophinias Ngonyani (kulia) mara baada ya Timu nzima ya Kipindi cha Maskani kilipopiga hodi hospitalini hapo kutoa misaada ya mashuka yapatayo 200 kwa ajili wodi ya akina mama na watoto. Msaada huo ilikuwa ni kuunga mkono maadhimisho ya wanawake duniani inayoadhimishwa leo Machi 8, duniani kote. Wanaoshuhudia ni Mbunge wa Kinondoni Mhe. Idd...

 

11 years ago

Michuzi

PPF YAMWAGA MISADA TEMEKE HOSPITAL SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

 Wafanyakazi Wanawake wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiungana na wanawake wenzao kusherehekea siku ya Wanawake Duniani kwenye viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es Salaam, Jumamosi Machi 8, 2014.  Lucy Raphael (Kulia), akifurahia jambo na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, baada ya kumtembelea na kumpatia zawadi kwenye hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam jana. Lucy ambaye amejifungua watoto mapacha ni miongoni mwa watu waliofaidika na zawadi mbalimbali zilizotolewa na...

 

10 years ago

Michuzi

BANKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WATOA MISAADA KWA WATOTO WANAOLELEWA MSIMBAZI CENTER.


Baadhi ya Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakitoa misaada katika kituo cha kulelea watoto wa chini ya miaka minne(4) yatima katika kituo cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam leo.
Crediti manaja wa Benki ya CRDB, tawi la Water front, Isaya Lyimo akimpa maelekezo Sista wa kituo cha watoto yatima cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre, Sista Anna Marandu mara baada ya wafanykazi wa tawi hilo kutoa msaada wa vitu mbalimbali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajitolea kutoa ubikira siku ya wanawake

Mwanamume mmoja amejitolea kutoa ubikira wake wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani