Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cuba kuondolewa vikwazo na Marekani?

Rais wa Cuba, Raul Castro, amemhimiza rais Obama wa Marekani kutumia mamlaka yake ya urais kuondoa vikwazo vya kiuchumi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Marekani yailegezea Cuba vikwazo

Rais wa Marekani Barack Obama amezungumza na rais wa Cuba Raul Castro muda mfupi baada ya marekani kulegeza vikwazo

 

10 years ago

BBCSwahili

Libya yaomba kuondolewa vikwazo

Libya imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuiondolea vikwazo vya silaha ili iweze kupambana na magaidi

 

9 years ago

BBCSwahili

Vikwazo dhidi ya Iran kuondolewa

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza amesema huenda vikwazo dhidi ya Iran vikaanza kuondolewa mapema mwaka ujao.

 

9 years ago

Habarileo

Vikwazo vya habari Iringa kuondolewa

SERIKALI mkoani humu imeahidi kuendelea kuondoa vikwazo vinavyowafanya wanahabari wasipate taarifa wanazohitaji kwa wakati, kwa ajili ya kuuhabarisha umma. Aidha, imesema ili kukuza demokrasia, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa katika mkoa huu itaendelea kutoa ushirikiano kwa wanahabari na kuwapa wananchi elimu juu ya haki yao ya kikatiba ya kuomba na kupewa habari.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vikwazo vya kibiashara dhidi ya Czech kuondolewa


NA SUBIRA SAID, TSJ
SERIKALI imeandaa mpango wa kuondoa vikwazo vinavyokwamisha ukuaji wa biashara na Jamhuri ya Czech.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu, alisema hayo jana alipokuwa akifungua kongamano la kibiashara kati ya Tanzania na Jamhuri ya Czech.
Alisema mpango huo utawawezesha wawekezaji na wafanyabiashara kutumia fursa zilizopo ili kukuza uchumi na maendeleo ya nchi hizo.
Dk. Mary alisema tayari serikali imetayarisha mpango huo na inatarajia...

 

10 years ago

Vijimambo

NCHI 188 ZAUNGA MKONO CUBA IONDEOLEWE VIKWAZO

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza muda mfupi kabla wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hawajapigia kura ya kutaka vikwazo vya kiuchumi, kibiashara na kifedha ambavyo Marekani imeiwekea Cuba viondolowe. nchi 188 zilipiga kura ya ndiyo, mbili zilipiga kura ya hapana na tatu zilipiga kura ya kutofungamana na upande wowote.
Na  Mwandishi Maalum , New York


 Kwa mwaka wa 23 sasa  hapo  jana (  Jumanne ) Nchi wanachama wa Umoja...

 

5 years ago

Michuzi

SADC WAPENDEKEZA KUONDOLEWA KWA VIKWAZO VYA KIBIASHARA MIPAKANI

Eric Msuya – MAELEZO

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge amewataka watanzania kuendelea kudumisha umoja na Ushirikiano wa Kibiashara katika ukanda wa Jumuiya ya maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.

Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa ngazi ya Makatibu Wakuu uliofanyika kwa njia ya Mtandao (video conference) leo jijini Dar es Salaam, amesema Mkutano huo ni mahususi kwa...

 

10 years ago

Michuzi

NCHI 188 ZAPIGA KURA YA NDIYO YA KUTAKA CUBA IONDOLEWE VIKWAZO

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza muda mfupi kabla wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hawajapigia kura ya kutaka vikwazo vya kiuchumi, kibiashara na kifedha ambavyo Marekani imeiwekea Cuba viondolowe. nchi 188 zilipiga kura ya ndiyo, mbili zilipiga kura ya hapana na tatu zilipiga kura ya kutofungamana na upande wowote.
Na Mwandishi Maalum , New York
Kwa mwaka wa 23 sasa hapo jana ( Jumanne ) Nchi wanachama wa Umoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani