SADC WAPENDEKEZA KUONDOLEWA KWA VIKWAZO VYA KIBIASHARA MIPAKANI
Eric Msuya – MAELEZO
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge amewataka watanzania kuendelea kudumisha umoja na Ushirikiano wa Kibiashara katika ukanda wa Jumuiya ya maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.
Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa ngazi ya Makatibu Wakuu uliofanyika kwa njia ya Mtandao (video conference) leo jijini Dar es Salaam, amesema Mkutano huo ni mahususi kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Vikwazo vya kibiashara dhidi ya Czech kuondolewa
NA SUBIRA SAID, TSJ
SERIKALI imeandaa mpango wa kuondoa vikwazo vinavyokwamisha ukuaji wa biashara na Jamhuri ya Czech.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu, alisema hayo jana alipokuwa akifungua kongamano la kibiashara kati ya Tanzania na Jamhuri ya Czech.
Alisema mpango huo utawawezesha wawekezaji na wafanyabiashara kutumia fursa zilizopo ili kukuza uchumi na maendeleo ya nchi hizo.
Dk. Mary alisema tayari serikali imetayarisha mpango huo na inatarajia...
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Sadc watakiwa kuondoa vikwazo vya kibiashara
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-MN7TnIRAUHw/XnJNiK-W9lI/AAAAAAALkVg/p45N-5up4GYSQRYjFWO5OJ7aDLdjvMckgCLcBGAsYHQ/s72-c/1..jpg)
WAZIRI MKUU MAJALIWA: NCHI ZA SADC TUENDELEE KUPAZA SAUTI KUONDOLEWA VIKWAZO ZIMBABWE
Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC leo Jumatano (Machi 18, 2020) Jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Majaliwa alisema Tanzania kupitia nafasi yake ya Uenyekiti wa SADC imeendelea kupaza sauti kwa...
9 years ago
Habarileo18 Nov
Vikwazo vya habari Iringa kuondolewa
SERIKALI mkoani humu imeahidi kuendelea kuondoa vikwazo vinavyowafanya wanahabari wasipate taarifa wanazohitaji kwa wakati, kwa ajili ya kuuhabarisha umma. Aidha, imesema ili kukuza demokrasia, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa katika mkoa huu itaendelea kutoa ushirikiano kwa wanahabari na kuwapa wananchi elimu juu ya haki yao ya kikatiba ya kuomba na kupewa habari.
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Libya yaomba kuondolewa vikwazo
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Cuba kuondolewa vikwazo na Marekani?
9 years ago
BBCSwahili24 Aug
Vikwazo dhidi ya Iran kuondolewa
5 years ago
MichuziVIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC SASA KUFANYIKA KWA NJIA YA VIDEO KUEPUKA KITISHO CHA KUSAMBAA KWA VIRUSI VYA UGONJWA WA CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Blog ya jamii
NCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika( SADC) zimechukua hatua ya vikao vyake kikiwemo cha Baraza la Mawaziri katika nchi hizo kufanya vikao kwa njia ha Video ikiwa ni moja ya mkakati wa kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa Corona ( CODIC -19 ).
Akizungumza leo Machi 10 mwaka 2020 ,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert Ibuge amesema kuwa hatua hizo zimetokana na ushauri uliotolewa katika...